Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku Wakuu wa majeshi yetu (polisi, magereza, JW) na vyombo vingine vya usalama watapokuwa huru kifikra na kimaamuzi kutoka ktk minyororo ya Chama Tawala tutashuhudia raia wakilindwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekujua..naomba anisaidie.je wanafugika kweli?mbona naskia ukimnunua baada ya siku3 unamkuta tena pale victoria anauzwa?ni hayo tu.mia
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Posted on October 23, 2011 at 7:30PM under The Church & You The Loving Catholics Network is closed on the weekends, but this story must be published at once. Today, Pope Benedict XVI canonized...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Leo nimemsikia Adamu malima naibu wazili wa giza na mashimo anasema eti agreco wameleta mitambo walio nunua kwao. Sina tatizo kuhusu hilo lakini kilicho ni shangaza ni pale alipo sema eti wamekuja...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mtangazaj wa itv-radio 1 maulid kitenge aka mau kite ameteuliwa kuwa msemaji wa Baraza la Michezo la Taifa(BMT),huku Jenista mhagama akichaguliwa kuwa Makamo Mwenyekiti
0 Reactions
19 Replies
3K Views
hi wanajamii, hebu nisaidieni labda niliona vibaya... baada tu ya taa za kiongozea magari kama vile kuna shimo kubwa la squre.. nimekuta breakdown na landcruiser mazingira ya hivyo vitu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mon Oct 24, 2011 11:40am GMT * Eyes 300,000-tonne annual output at smelter * To build sugar factory and power plant By Fumbuka Ng'wanakilala DAR ES SALAAM, Oct 24 (Reuters) - Dubai-based City...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani kuna mtu kanipigia simu kuwa bank NMB ya tawi la temeke maeneo ya Mwembeyanga limevamiwa.. je kuna ukweli kuhusu hili na kama kuna mtu aliye karibu na eneo la tukio Plz bring news to us...
0 Reactions
83 Replies
13K Views
AMRI KUMI ZA SHERIA ZILIVYOORODHESHWA NAALIYEKUWA JAJI MKUU WA TANGANYIKA MWAKA [1928] 1. Usijari,hata kidogo kukwepa uwajibikaji kwenye hukumu zako. 2. Usimtie hatiani mtu ambaye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wajameni! WanaJF wenzangu! Kuna hbr nilizopata majira kidogo iliyokatika ya kwamba jana usiku majira ya saa 4 hapo ktkt ya njia ya toka Morogoro kuja Chalinze kuna ajali ya kusikitisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika utafiti wangu mfupi nimegundua wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam wanachangia kwa kiasi kikubwa nchi hii kutoendelea. Imetokea mara nyingi katika nchi nyingine linapotokea jambo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
kuna taarifa za mgomo wa wafanyakazi wa kitengo fulani hapa chini kesho hiyo. Mwenye kutaka tuiweke wazi hii naomba tuwasiliane kwa taarifa zaidi ili tukomeshe ufujaji wa mali za umma
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wizara imewasusia kuhamasisha watanzania kupigia kura mlima wakuu wachaga mnasemaje kwenye hilo>?mnakubali wizara na waziri wake wawafanyie hivyo? chezeni wenyewe kwa sababu mnaweza,tunawakubali...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Ni takriban miezi kadhaa sasa wizara na taasisi za serikali zimekuwa zikiteketeza mamilioni ya fedha kwa kile kinachoitwa sherehe za miaka hamsini ya uhuru. Hii ni pamoja na kuandaa mabanda ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tofauti kati ya nchi masikini na nchi tajiri haitokani na umri ambao nchi inayo. Na hilo tunaweza kulitambua kwa kuangalia nchi kama India na Misri. Kwamba zina zaidi ya miaka 2000 tangu kuwepo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Walinzi zana nzito za kivita hazikuweza kumnusuru Gadafi www.youtube.com/watch?v=W0UE4m0b4b0
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jana jioni nikiwa na kazi muhimu umeme umenisumbua sana ile kukatika katika mara kadhaa kwenye majira ya jioni ilikuwa ni kero kubwa. Ilinifanya nikumbuke shida yote hii ilianzia kwenye Richmond...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa nini Jeshi la Polisi linamchunguza kwanza mtuhumiwa kabla ya mtuhumu? Nimeona Polisi wakiwa mstari wa mbele sana kwa kuchunguza mtuhumiwa kwa njia mbalimbali na sijasikia mtuhumu&nbsp...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mambo wana jf? Nlikuwa nafatilia sababu za vita ya walibya na nikajiuliza kwa wizi wa kura wa ccm,(ambao ni sawa na udikteta) kutotoa huduma muhimu kwa raia,haki za raia kupuuzwa,ufisadi na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nilmetapeliwa na kampuni ya simu ya TIGO katika huduma zake. nimejaribu kuingiza pesa ktk line ya Tigo iliosajiliwa ili kupata huduma ya LIGHT DAY INTERNER kupitia MODEM ya TIGO. nimeingiza Pesa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom