Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nakaribia kufika Iringa. Na upendo bus.tonda imepata ajari a kugonga semi iliyokuwa imeharibika pembeni.inasemekana driver Kafa. majeruhi na abiria wengine wa tonda tumewabeba ndani ya upendo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana JF, hii nishati ya petroli imekuwa adimu tangu jana jioni, je ni mgomo baridi au?? Pale Total ya Mlimani City hawana mafuta ya petrol tangu jana mpaka leo asubuhi, BP - Kimara Baruti nako...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mahakama kuu ya kenya jana ilitoa amri ya kukamatwa raisi wa sudan omar al bashir. amri hii ya mahakama ya kenya imepelekea serikali ya sudan kumtimua balozi wa kenya nchini sudan na kumwamuru...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada ninakusudia kusafiri kwa gari ndogo kwenda rufiji lengo ni kwenda kuongea na wanavijiji wanaoishi pembezoni mwa delta ya rufiji, je ninapitia njia gani? Ni lami tupu? Je gari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Ni imani yangu kuwa wengi mko katika hali nzuri kiafya, kama ni hivyo Inshalah! Kimsingi inasikitisha kuona baadhi ya watu wakishiriki mjadala kupitia tovuti yetu bila kufanya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jana nilipigwa butwaa kwenye makala ya Kijambo cha wiki cha Mlimani Tv. Niliona wanafunzi wa shule ya masingi wanaosoma chini ya mti. Ubao wa kuandikia ni vipande vipande vya ajabu vimeshikiliwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha kuona Kituo cha Polisi Himo kinahusika kuruhusu mahindi pamoja na sukari inayopelekwa nchini Kenya. Iko hivi: wameweka barier kwenye barabara za Holili na Marangu na pia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nikiitizama ramani ya Tanganyika huru huwa najiuliza makusudi ya mbunifu wa mipaka yake. Unaweza kuona wazi kuwa ni nchi liyopewa nafasi kwa upendeleo mkubwa. Pengine aliyekuwa akigawa mipaka...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naomba ushauri.nina morden ya airtel inasumbua sana sana network,nikitaka kufanya kazi zangu nisubiri mpaka saa nane usiku ndio inakua faster.mida ya kazi hata jiona hakuna kitu kabisa.je...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Your support will help us share with you, through a map and exploration, the potential of cell phones and social networks to improve childhood vaccine delivery. By contributing to this project...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Habari zilizopo TRL imepakia injini zao nakuzipeleka kwao India huku ikiwa Imeviacha vichwa vya train 10 kati ya vichwa chakavu vilivyoletwa na kampuni hiyo kwa madai wao siyo wamiliki wa Train...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
wana jf najua mtandao wetu ni mpana sana hebu mwenye info kama kweli yapo tayari atujulishe ili presha za watt wetu zishuke
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Facing their last moments with a smile: The Chinese women about to be executed for drug smuggling B A young woman sits cross-legged on the ground laughing playfully as she is fed a lychee...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeshangazwa na akina Mgaya kutotoa tamko lolote kuhusu swala la posho ya wabunge kuongezeka maradufu wakati pato la mfanyakazi nchini likipungua kadiri siku zinavyokwenda. Leo mtanzania...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sheria hiyo imepitishwa na kusainiwa na rais hali watu wengi ikiwemo mimi hatujarithika na haraka haraka ya kupitishwa kwa sheria hiyo inanichanganya .Mlio elewa tafadhali nijuzeni katika hili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
leo navuka kwenda kigambo nakuta maji yamebadilika rangi kulikono?kama kuna mtu anafahamu atujuze maana rangi si ya kawaida
0 Reactions
3 Replies
2K Views
SAKATA la ushuru wa kuku limeendelea kuchukua sura mpya,baada ya mfanyabiashara wa kuku 'kutekwa' na askari polisi sita na kupelekwa kwenye vichaka vilivyopo kando kando ya bwawa la Kindai nje...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Utafiti uliofanywa na wanasayansi toka Marekani na Argentina umeonyesha kuwa wireless internet kwenye laptop ina madhara kwa viungo vya uzazi vya mwanaume kwa kuharibu ubora wa mbegu za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huwezi amini, yule dokta bingwa wa mifupa pale MOI, KCMC, BUGANDO, MBEYA na kwingineko anapokuwa zamu for 24 hours posho yake ni 10000 na mbunge anapokuwa bungeni for tha day hours anazokuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WanaJF wenzangu habari za jioni natumai mu wazima wa afya njema.Niko hapa kuwajuza juu ya hii kero inayonikera sana mimi na hata watumiaji wengine kama mimi. Kero yenyewe ni hii ya kupokea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom