Sheria ya katiba mpya Tanzania

raymond cheng

New Member
Dec 4, 2011
1
0
Sheria hiyo imepitishwa na kusainiwa na rais hali watu wengi ikiwemo mimi hatujarithika na haraka haraka ya kupitishwa kwa sheria hiyo inanichanganya .Mlio elewa tafadhali nijuzeni katika hili otherwise nimefurahi sana kujiunga na jamii forum tafadhali jamani nipokeeni!
 
hatujarithika = hatujaridhika

"hatujarithika" inamaanisha nyie mmekufa na bado hakuna aliye warithi.
 
Back
Top Bottom