Naweza kuwadai fidia airtel?

kulwa12

Senior Member
Jun 30, 2009
103
28
Wadau naomba ushauri.nina morden ya airtel inasumbua sana sana network,nikitaka kufanya kazi zangu nisubiri mpaka saa nane usiku ndio inakua faster.mida ya kazi hata jiona hakuna kitu kabisa.je naweza nikawashitaki hawa watu? Wamenipa hasara kubwa sana.naomba ushauri.
 
Pitia sheria ya mawasiliano uangalie legal position yako endapo utawashtaki.
Halafu ungepost jukwaa la sheria ndo ungepata majibu kuntu.
Sawasawa?
 
Nimeweka 4k leo asubuhi, sijadownload chochote na hamna update yoyote imefanyika! Nashangaa sasa hivi hamna balance!! Huu ni wizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom