Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WanaJF wenzangu habari za jioni natumai mu wazima wa afya njema.Niko hapa kuwajuza juu ya hii kero inayonikera sana mimi na hata watumiaji wengine kama mimi. Kero yenyewe ni hii ya kupokea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SIRI ya muda mrefu ya kinacholifanya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuendesha shughuli zake kwa kiwango cha chini na kutaka kupandisha bei ya umeme kila siku hatimaye imefichuka...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Imepita zaidi ya miezi 3 hapa Dar mjini kumebandikwa road signs nyingi tu kuashiria No Entry. Inaonyesha kuwa katikati ya jiji barabara zitakuwa na mabadiliko makubwa. Cha ajabu toka walipoweka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii kampuni ilikuwa kero, sasa imezidi na kuwa kereka. Kulikoni ukiacha akiba yako usiku, ukiamka asubuhi unakuta wemeramba, ukipiga kungea na huduma kwa wateja. Simu inaita bila kupokelewa. Hata...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa hali ilivyo ni kwamba mtoto wa kiume wa jk Riz1 ni sehemu ya serikali ya baba yake kutokana kuingilia tasisi za chama na hata zilizo chini ya serikali,tofauti na watoto wa viongozi waliowahi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanangu uswazini vyoo noma nilifika uswazi kupata kinywaji tumbo lilishtuka ghafla nikaenda kuomba hifadhi nilipo iona nyumba ina bendera ya ccm na picha ya jk nikaona hapa nitasaidiwa nyumba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo asubuhu nikipita katika barabara ya Bibi Titi makutano na barabra ya morogoro,kulikuwa na kamata kamata ya ombaomba,nikishuhudia askari wa jiji wakimkamata mama mmoja ombaomba,mama huyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Unaweza hisi ni msiba ama ndege imeanguka la hasha ni chokochoko za kampuni yetu kalichosalia ambacho sasa naona watu wameanza kukachoka pale wanapoendeleza kusema kampuni ya ndege inasikitika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Muiizaji wa kikundi cha The comedy aitwae Joseph aka Vengu agharamiwa matibabu na mh Rais hayo yamesemwa na muongozaji wa kikundi hicho leo TBC 1.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii imetokea muda huu hapa kigonsera wilayani mbinga.Baada ya mwanafunz mmoja wa kidato cha 3 ambaye alikuwa amesimamishwa masomo kutokana na kupata mimba, kujifungua peke yake polin then kumuua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma,ACP Frasser Kashai. Wadaiwa kumtesa, kumpiga, kumdhalilisha hadharani Wadaiwa kumpasua bandama kwa kitako cha bunduki Mdogo wake naye yuko hoi mahabusu kwa...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
....Kuna kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Sospeter Shindika anayesema atazunguka nchi nzima hususani Tanganyika kujionea maendeleo yaliyofikiwa ndani ya miaka 50 kwa kutumia pikipiki...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
The folk song " Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote" was probably the country's unofficial national anthem by its popularity. It was widely embraced then by many mainstream politicians and was often...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Eneo linauzwa lipo kiwalani kigilagila.limepimwa na lina leseni ya makazi,lina ukubwa wa mita za mraba 340,bei ni milion 32.mawasiliano 076797955d
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nilikuwa mbeya siku moja watu niliokuwa nao wakaanza kujadili juu ya mchungaji mwaisapile eti kuwa wagonjwa wengi walio pata kikombe sasa wanakufa kwa kasi, wakaanza kutaja watu katika mtaa wao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni wakati sasa watanzania tumuombe rais huyu mstaafu afute kauli yake kuwa: "SISI NI KICHWA CHA MWENDAWAZIMU", maana kila mashindano tunaharibu. Yule mzee katulaani!
2 Reactions
38 Replies
3K Views
wakuu ninayo modem ya sasatel,nliweka elfu 10 last month,sikununua bundle yoyote kwan nlikua nasafr,leo nimerud kuchek balance haipo!nahis wamenilamba!from today modem yao naitupia
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninamshauri Jerry Muro asipokee tuzo ya Mwandishi Bora wa Mwaka 2009 aliyopokwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa sababu walimhukumu kabla ya hukumu ya Mahakama jambo ambalo ni udhalilishaji...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Akihojiwa katika kipindi cha asubuhi hii kinachorushwa na TBC-Taifa katibu mkuu wa TUCTA, Bw .Nicholaus Mgaya amesema katika kusherehekea miaka 50 ya uhuru, watumishi wa umma wanasherehekea wakiwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana nimepewa kisa kimoja cha dogo wa Mujini anyejiita KEVIN MKAPA http://www.facebook.com/real.mkapa?ref=fs ON TWITTER http://twitter.com/#!/kevinmkapa/sta...02981513273344 . huyu mtoto ni noma...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom