Kijambo cha Wiki Mlimani Tv: Elimu ya Tanzania miaka 50 Ubao wa Kuandikia mwalimu ni VipandeVipande | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijambo cha Wiki Mlimani Tv: Elimu ya Tanzania miaka 50 Ubao wa Kuandikia mwalimu ni VipandeVipande

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Inanambo, Dec 5, 2011.

 1. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,865
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Jana nilipigwa butwaa kwenye makala ya Kijambo cha wiki cha Mlimani Tv. Niliona wanafunzi wa shule ya masingi wanaosoma chini ya mti. Ubao wa kuandikia ni vipande vipande vya ajabu vimeshikiliwa na ufito maalum unatundikwa juu mti, mwalimu anaandika.
  Jamani hvi kweli tunashindwa hata kutengeza Ubao wa kuandikia kwa mbao zetu hapa Tanzania? Ahaa ile shule inatia aibu na wazazi wanasema serikali itusaidie. Jina la shule sikulipata na mkoa ilipo sikuupata.
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  kwani kuna watoto wetu wanasoma kule?? ndio wanachosema wakuu
   
 3. Mugwet

  Mugwet Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 25
  Tumethubu2,2meweza na 2nasonga mbele
   
Loading...