Kumbe TRL ilikuwa inamilikiwa na watanzania na siyo Wahindi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe TRL ilikuwa inamilikiwa na watanzania na siyo Wahindi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Dec 3, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Habari zilizopo TRL imepakia injini zao nakuzipeleka kwao India huku ikiwa Imeviacha vichwa vya train 10 kati ya vichwa chakavu vilivyoletwa na kampuni hiyo kwa madai wao siyo wamiliki wa Train hizo 10 baada ya kuulizwa wakatamka ni za vigogo!!Baada yakuufata uongozi wa juu TRL ukawambia injini tulizoziacha siyo zetu bali ni za Vigogo wa nchi yenu sisi zakwetu tumeisha zipakia na kwenda India.Ulipofuatwa uongozi waserikali ukajiuma bila kutoa Jibu ila kwa mjibu Injini hizo ni za Kigogo mstaafu serikalini kwa ngazi ya Juu mwenye migodi!
  Inasemekana hata mswaada wakununua vitu vya mitumba uliasisiwa kwa makusudi na wanasubili upite serikali ije inunue hizo injini!!!
   
 2. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Jubaaa!! Nafwaaa!!
   
 3. S

  Smafuru Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aic heko kwa hiyo news...lkn tupe japo herufi za mwanzo za huyo kigogo wa migodi
   
 4. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,041
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndo bo...ngo bana
   
 5. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  KakaKiza habari kama hizi zinatonesha mioyo yetu zaidi.

  Ajabu come 2015 watanzania watawapa tena kura. Hivi watanzania tukiwanyima kabisa kura hawa wezi NEC watachakachuaje?
   
 6. J

  Joachim Morgan Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nchi hii wajinga tuko wengi.
   
 7. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Ndo maana yule mdigo alipandwa na jazba buhge, kila mbunge alikuwa anajuwa the motive behind, wakajifanya wanaongeeea! Mwisho wa siku mtumba wa kwanza ni hivyo vichwa treni !
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kama unajua ukweli tuwekee hapa. Kwa mambo ya wizi na rushwa bibie nakuaminia kuwa wewe ni mzalendo.
   
 9. Imany John

  Imany John Verified User

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Wewe mwiba wa jagwani kaa kimya.
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Ya wezekana zikawa pumba kwa sababu unahusika katika mchakato!!kwa maana hiyo unapumbaza watu waone ni pumba!!
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Kwa yeyote yule aende TRL taambiwa vichwa vya Train vilivyo achwa viko wapi??ataonyeshwa na kwa taarifa vichwa hivyo kwa sasa ni chases kwani wamekongoloa spare zote!!!
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,384
  Trophy Points: 280
  Toa zako ambazo sio pumba tuzione!!
   
 13. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Apate wapi mzinguaji au unakuta ndo vibaraka wa mafisadi!!
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Wewe FF yako wapi yale uliyosema? Eti kuumwa kwa Mwandosya kuna uhusiano na mdau wa maji::::Full crap
   
 15. M

  Mlabondo Senior Member

  #15
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 140
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Humu ndani kuna mijitu mijinga kakakiiza Ana uhakika na anayo sema. Kwani nchi inaliwa kiuni
   
 16. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nahisi kura nyingi zitaenda NCCR Mageuzi....:A S embarassed:
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Huyo Lazima awe Che Nkapa tehe
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Achaneni na huyu jamaa. Yuko busy na kusimika Taifa la kiswahili ambalo halitakuja kutokea milele maana huu uswahili uko kwenye ngwe ya lala salama. We are counting the clock. Ukiona analeta mada basi lazima itakuwa ni ya maslahi binafsi na sio nchi yetu.
   
 19. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Mkapa kiboko!mtibwa sugar nayo yake
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kweli hii nchi ina wenyewe!
   
Loading...