eti matokeo darasa la saba yametangazwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

eti matokeo darasa la saba yametangazwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dr chris, Dec 4, 2011.

 1. d

  dr chris Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana jf najua mtandao wetu ni mpana sana hebu mwenye info kama kweli yapo tayari atujulishe ili presha za watt wetu zishuke
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Sidhani, mara nyingi inakuwa kuanzia tar. 20...
   
 3. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mh watoto wa wakubwa wanakuwa wameshajua mpaka kufikia sasa nakwambia selection ikimalizika tu washajua..
   
 4. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Matokeo bado; huenda wiki hii yakatangazwa baada ya selection kukamilika.
   
 5. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Kuanzia tarehe 9/12/2011 yatatoka
   
Loading...