Nimeshangazwa na akina Mgaya kutotoa tamko lolote kuhusu swala la posho ya wabunge kuongezeka maradufu wakati pato la mfanyakazi nchini likipungua kadiri siku zinavyokwenda.
Leo mtanzania mfanyakazi ndio mchangiaji mkuu wa mapato ya serikali, lakini maisha yake yanakuwa magumu kwasababu serikali imekosa ufanisi wa namna ya kuboresha maisha ya wafanyakazi. Wafanyakazi Tanzania wanaumizwa kila sehemu kuanzia VAT, PAYE, Pension, Inflation. Badala yake kama serikali yetu adhimu haielewi imeamua kuongeza maposho ya wabunge kwa asilimia 155%.
Naomba kuuliza vyama vya wafanyakazi vipo? Akina Mgaya mpo?