Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NASA's planet-hunting Kepler spacecraft has confirmed the discovery of its first alien world in its host star's habitable zone - that just-right range of distances that could allow liquid water to...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Daah, Wakuu! Manake kisu imefika kwenye mfupa! Baada ya maisha haya ya mjini ya kubangaisa na vibarua mtaji ukiwa mguu wako! Nilishindwa kuishi mjini baada ya kushindwa kumuachia buku wife naye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitendo cha serekali kuongeza mishahara ya wabunge ni udikteta kwenye serekali legelege na isiyojali wananchi wake ambao ndio wengi na ndio wenye maisha magumu na ya taabu kiliko wao wanaokaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa kweli naona hii nchi wanajeshi wameamua kujichukulia sheria mkononi na kufunga barabara ya mandela kuanzia hostel mpaka external
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ewura, WB to study consumer satisfaction in water, energy The guardian reporter 6th December 2011 Energy and Water Utility Regulatory Authority consumer consultative...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama mnafika katika uwanja huu na kusoma ujumbe huu tafadhalini hebu shughulikieni hili tatizo linalotusumbua sisi tunaopokea matangazo yenu kwa njia ya satellite ya INTELSAT906E.Kwa kipindi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tatizo kubwa la kimiundo mbinu ya maji taka yani( siwage) lililokuwa likikabili kata ya sinza tayari limepatiwa ufumbuzi, akiongea na itv diwani wa kata ya sinza mh renatus pamba cdm alisema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za majukumu wandugu! Ningependa kufahamu je kuna mabadiliko yoyote kwenye kanuni mpya ya kutafuta PAYE? Nimejaribu kutembelea website yao wana ile PAYE Calculator lakini formula sijaiona...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Jamani habari ndio hiyo, ni utaratibu wa Serikali kila mwaka unapoanza Watumishi wake hupandishwa ngazi ya mshahara lakini toka mwaka huu wa fedha uanze na tunakaribia kumaliza nusu ya kwanza bado...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimekaa na kujiuliza mara tatu nne kwanini Julius Kambarage Nyerere hakuwa na heshima ya udaktari aidha yakupewa au yakusoma darasani.hapohapo nikaanza kujijibu labda ilikua ni upungufu wa vyuo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau, katika kupitia baadhi ya posts nimegundua baadhi ya wanajamii wengine huwa hawatumii maneno mazuri kabisa katika kukosoa mada husika! Najua hata baada ya kuandika hivyi kuna ambao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kesi ya Jerry Muro imekwisha. Mengi yamesemwa juu ya kesi yake. Wapo waliosema alibambikizwa na wengine wakasema tuhuma zilizokuwa zikimkabili ni za kweli. Kwa wanaofahamu sheria, kesi ikishafika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naona Kuna Watu Wanaishusha hadhi jamii forum kwa kupost mada zisizo kuwa na akili...,kisa tu Itikadi za kichama,au chuki binafsi...! Jamani Dk.Slaa Mwacheni Kumwandama kwani Sifa zake au C.V yake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau bado lile wimbi la mauji ya wanafunzi wa kiafrika hasa wenye ngozi nyeusi wanaosoma Urusi linaendelea.Baada ya kuripotiwa mauaji ya mwanafunzi kutoka Zambia na baadaye Nigeria,sasa hivi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu leo nimetimiza miezi miwili tangu nihamie Njiro kwa Msolla.Njiro ni sehemu ambayo imepangika (imepimwa)bila shaka hii ni sababu kubwa iliyonivutia kujenga hili kukwepa hadhaa ya msongamano...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Mrembo wa Tanzania Aolewa na Kibabu cha Kiingereza, Anusurika Kukatwa Mikono Yake Sunday, December 04, 2011 Mwanamke mrembo wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 25 tu amekiona cha moto baada ya...
0 Reactions
29 Replies
11K Views
nimezunguka maeneo mengi hapa bongo , nikakuta vijana wengi hupenda kukaa katika vikundi ambavyo si rasmi ,nahukaa hapo pengine hadi majira ya jioni,je nini manufaa ya kukaa hivyo?na kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
bandugu hivi ni kweli kijana falli ipupa anakuja arusha matonge club mwenye habari kamili atujuze pls
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ikiwa kutakuwa na taarifa za ki-intelinsia ya kuwepo uwezekano wa sherehe za kilele cha maadhimisho ya sherehe ya Uhuru wa Tanganyika kushambilwa na Alshabab, basi polisi ipige marufuku kufanyika...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Monday, December 5, 2011NDEGE YA UPEPELEZI YA MAREKANI YASHUSHWA NA IRAN Jeshi la Iran linasema kuwa limedungua ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani, mashariki mwa nchi, na italipiza kisasi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom