Polisi mji mdogo wa Himo ichunguzwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi mji mdogo wa Himo ichunguzwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bado nipo nipo, Dec 5, 2011.

 1. B

  Bado nipo nipo Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la kusikitisha kuona Kituo cha Polisi Himo kinahusika kuruhusu mahindi pamoja na sukari inayopelekwa nchini Kenya. Iko hivi: wameweka barier kwenye barabara za Holili na Marangu na pia njia kuu ya panya inayoshuka Makuyuni. Lakini kila ifikapo usiku msafara mkubwa wa magari huwa unaanza kupita kwa kutumia njia hii ya Panya, na wakati huo huo polisi nao wanazuga kuzunguka zunguka kwenye patrol wakati magari yanayopitisha mahindi hayo na sukari yanaondoka zaidi ya 50 kwa usiku mmoja. SAID MWEMA TUSAIDIE!
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  wale polisi wa himo ni noma hivi sasa wameingia katika kashifa ya kununua mashine ya kugundua hela feki. Hawa wafanyabiashara wa mahindi na sukari wa Tanzania to kenya via himo, walikuwa wanawapa hongo ya hela feki. sasa hivi kabla ya kupokea hiyo rushwa hela zote zinapitishwa kwanza kwenye machine ili kugundua kama ni feki au sio feki. Mashine ipo pale pale polisi na huyu mkuu wa kituo anaona kawaida tu. polisi mnatia aibu. Mia
   
Loading...