Uhaba wa Petroli Jijini .....

Kifaranga

Senior Member
Jan 6, 2011
144
31
Wana JF, hii nishati ya petroli imekuwa adimu tangu jana jioni, je ni mgomo baridi au?? Pale Total ya Mlimani City hawana mafuta ya petrol tangu jana mpaka leo asubuhi, BP - Kimara Baruti nako hivyo hivyo, Oilcom Mwenge nako hivyo hivyo (kwa mujibu wa vituo nilivyozunguka leo asubuhi na jana usiku)

Nawasilisha
 
Hili Tatizo ni la Muda Mrefu na nahisi ni la Kutafutiwa Ufumbuzi wa Haraka!! Kwani Kawaida kwa siku za Jumamosi na Jumapili Kukosa Mafuta Katika Vituo Vya BP Kimara Baruti, Oryx Kimara, na Gapco Suca!! Nadhani ni Muda muafaka hawa EWURA kutueleza Huwa Tatizo ni nini? Hadi siku Moja ilinilazimu Kuwatolea Maneno Makali hawa wenye Petrol station Kwa Kutusababishia Matatizo Yasiyokuwa Na Msingi!!
 
sidhani kama wanakosa mafuta, wana-speculate bei pengine ewura watapandisha so ili watake advantage of old stock.
 
nafikiri watu ewengi waliozoea kujaza mafuta ya 10,000 siku hiyo hujaza full tank wakihofia yatapanda bei ndio maana vituo vingi huishiwa mafuta wakati kama huu
 
Back
Top Bottom