Hospitali ya taifa muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hospitali ya taifa muhimbili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uluwaru, Dec 8, 2011.

 1. Uluwaru

  Uluwaru Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mamia ya wagonjwa pamoja na wazazi wanalala chini wakati posho ya wabunge kwa siku ikizidi mshahara wa kianzio wa walimu na polisi.Tunapoelekea tunapajua?
   
 2. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Ndiyo hivyo, wanasiasa wananguvu kuliko hata wanaofanya kazi. Nchi hii hadi tutakajua kuwa wanasiasa wananafasi yao, na professionals wengi wananafasi yao! tukiweza kutenganisha haya madudu tutaweza kuwaadabisha wanaoturudisha nyuma. Lakini kwa sasa, wanasiasa ni kama miungu watu.
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  nenda pale amana,mwananyamala na temeke wodi za wazazi hakika utaghadhabika kwa utakayoyaona.eti visenti vya kununulia banko hamna wakati mabilioni ya kulipana posho yapo
   
 4. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Hospital za public zinatia huruma.
   
 5. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  miaka 50 ya uhuru
  tumethubutu, tumeweza na tunazidi kusonga mbele.
  siupendi kweli usemi huu.
   
Loading...