Kumbe lugha inapendezesha mpira?

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Leo wanatangaza kwa ENGLISH mechi ya Tanganyika na uganda!Nahisi kama naangalia UEFA.Tendo linakwenda na mpira.Watangazaji wa kibongo goli halijaingia yeye kisha shangilia.Tayari tuna goli 1 mbele.Nadhani wameona super sport ndo mana wanakomaa wajitangaze.
 
Back
Top Bottom