Wanaopeleka watoto kusoma Kenya na Uganda mmeliwa

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Utafiti wa hivi karibuni uliochapishwa na gazeti la kila siku la Daily Nation la Kenya umeonyesha kuwa Kenya inaongoza kwenye somo la hisabati kwa shule za msingi huku Tanzania ikiongoza katika kusoma. Utafiti huu uliohusisha nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika unaonyesha nchi za Uganda, Zambia, Malawi na Msumbiji kufanya vibaya zaidi. Hivyo tunaweza kusema kuwa wazazi wa kitanzania wanaopeleka watoto wao Kenya na Uganda wameliwa. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom