ni milipuko ya mabomu au risasi

menyidyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
1,339
194
Muda huu nasikia vishindo vya juu sana kutokea kama maeneo ya ubungo au kimara. naomba mnijuze ni nini kinachojiri?
 
ni mafataki yanapigwa kutoka mnazi mmoja, kawe pamoja na mbagala leo ni siku ya uhuru wa Tanganyika.
 
Muda huu nasikia vishindo vya juu sana kutokea kama maeneo ya ubungo au kimara. naomba mnijuze ni nini kinachojiri?

Ni fataki za Uhuru. Hapa M/Mmoja zimerushwa fataki nzuri sana lakini hadhi yake hailingani kabisa na miaka 50 ukilinganisha na zile za mwaka wa kichina unapoanza hapo M/Mmoja
 
Tanzania bila wajinga haiwezekani,how come unatumia bil 50 kusherekea upumbavu,kwanin wasijenge jengo la wazazi ili wanapoenda kujifungua wasilale chini?
 
Tanganyika ndo imetimiza miaka hamsini kamili. Wanawajulisheni amuka tusherekee
 
Aah kumbe. dada nikawa nashangaa vishindo vinaongezeka tu. by da way am not proud of dis independence hata.
 
Namshukuru ALLAH SW kwa kutulinda mpaka leo hii, Ya Rabbi, twaomba utuzidishie rehma zako.
 
Back
Top Bottom