Kama hauko huru hata kwa 1% we sio huru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama hauko huru hata kwa 1% we sio huru

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mlumendo obeid, Dec 9, 2011.

 1. M

  Mlumendo obeid Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habarini za asubuh wanajamii! Poleni na uchovu wa kutafuta dinari! Naomba kujua hivi leo tunasheherekea miaka 50 ya uhuru au miaka 50 ya amani? Na kama ni uhuru! Uhuru upi tunaousherekea?
   
Loading...