Ni mkoa gani una maisha rahisi hapa Tz?

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Jana kuna jamaa ameweka thread,mengi tu ameyasema na kuropoka kuhusu Arusha.Wadau naomba mnijuze wapi maisha ni rahisi? Ukiangalia Dar,Pwani,Zanzibar,Tanga,Lindi,Morogoro,Mtwara n.k n.k ndo kuna vijiwe vingi na wachagua kazi wengi na wapenda umwinyi na starehe.Hamuoni posho za wabunge dodoma zimepanda kutokana na kupanda gharama za maisha?
 
sumbawanga-Rukwa.
 
Mwanza ukiamka unaenda kamata Sangara wako ahaaaaa raha kabisa!!! Maji unachota tu ziwani na Nyumba ni kuanzia 3000 kwa mwezi!!!!
 
Usiseme mkoa gani kuna maisha rahisi. Unapaswa kujua kuwa kila mtu anayatazama maisha na mahali fulani. Kwa kutazama mambo 2.
1. Kipato chake
2. Mahitaji yake.
Sasa kwa mahala kama Arusha,Dsm,Moshi na nadhani Mwanza. Gharama za maisha zitakuwa kubwa kuliko sehemu nyingine kama Singida,Mtwara na Lindi. Na hii ni kwa sababu maeneo kama Dsm na Arusha kuna fursa nyingi za kupata pesa kulingana na maeneo kama Mtwara au Lindi.
 
Mwanza ukiamka unaenda kamata Sangara wako ahaaaaa raha kabisa!!! Maji unachota tu ziwani na Nyumba ni kuanzia 3000 kwa mwezi!!!!

kwel ni mwanza ila kuhusu sangara na maj mh? Ila chumba sawa ila uwe unakomaa kwel kwel
 
Swali gumu but kwa mujibu wa takwimu za mama wa mjengoni it can be deduced that Mikoa yote maisha ni easy except DODOMA (Ndo maaana posho juuuuuu).

In real sense : Jamani hii inflation itakuja kutuulia majumbani kabla hata hatujafika hapo markiti
 
Back
Top Bottom