Mchina aangua kilio baada ya kuwaona Wastaafu wenzake wa Reli ya TAZARA-Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchina aangua kilio baada ya kuwaona Wastaafu wenzake wa Reli ya TAZARA-Mbeya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngaliba Dume, Dec 8, 2011.

 1. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Katika hali ya kustaajabisha Bw.Jing Jiang raia wa China aliyeshiriki kujenga reli ya TAZARA (UHURU) ameangua kilio kama mtoto baada ya kuwaona "vijana" wenzake wa enzi hizo waliofanya kazi TAZARA....Ndugu Jing Jiang aliangua kilio baada ya kuwaona "Ex-co-workers" wenzake wakiwa hoehae, choka mbaya na wenye afya dhaifu ili hali walistahili kuish maisha mazuri kwa mchango wao ktk Ujenzi wa Reli hiyo...

  alistuka kuona hata wale walokuwa vijana zaidi kuliko yeye wamekuwa "wazee" na hali duni. Bw.Jing Jiang alikuwepo nchini miaka ya 1960's adi 70's ktk ujenzi wa Reli hiyo...ameumia kuona jamaa zake wanaish maisha duni kama hawakuwahi kulitumia shirika kubwa kama TAZARA, ameahidi kuitembelea Reli hiyo toka Mby-Dar..

  na akiwa Dsm ataonana na rais kumfikishia masikitiko yake kwa uchakavu wa Reli ya Uhuru, iliyosaidia harakati za ukombozi kusini mwa Afrika na muingiliano wa kiuchumi..

  pia atatumia nafasi hiyo kufikisha machungu yake juu ya hali ya wafanyakazi wenzie wa enzi hizo wa TAZARA....(Picha zinagoma kuwa uploaded, mngeshuhudia Mzee anavolia)

  NAWASILISHA...!!!
   
 2. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Inaumiza sana wastafu wa TAZARA wako katika khari ngumu sana wamedhurumiwa pesa zao hakuna mafao duuu
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  [h=3]MCHINA AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUKUTANA NA WASTAAFU WENZIE WALIOFANYA KAZI PAMOJA RELI YA TAZARA[/h]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"] MWENYEKITI wa Shirika la Ushirikiano wa Tanzania na nchi ya China SINOTA Friendship Association Bw. Jiang Jing Ying leo asubuhi alishindwa kuvumilia na kujikuta akimwaga machozi baada ya kukutana na wastaafu wenzie waliofanyakazi pamoja Reli ya TAZARA miaka zaidi ya 40 iliyopita
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [​IMG]
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kumwona huyu bwana wakati fulani akizungumzia kuhusu life waliokuwa wakiishi wakati huo TBC na M. Hassan, anyway kipindi hii ya nyerere ilikuwa si mchezo. watu wengi leo wanaishi maisha ya kifisadi sana yani wengine wanapata mshahara laki mbili ila wana magari na nyumba tena za kisasa yani unaweza usiamini ila ni hali halisi.
   
 6. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Dah!..kama haigizi kama pm wetu aigizavyo,basi huyu ni binadamu wa ukweli.
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  hajui kuwa utiifu,uadilifu ni sumu ktk nchi yetu?tanzania ukitaka kuwa na maisha mazuri iba,kwepa kodi,uza nyara za serikali,madawa ya kulevya
   
 8. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Wazee wa east africa wanapigwa mabomu kwa amri ya viongozi waliokuwepo wkt wa hiyo federation kama hawajui kazi waliyo fanya. Naona ule usemi wa ''zimwi likujuaro halikuli likakwisha'' unawalakini kwa sasa yafaa utazamwe upya.
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hapa hoja ni nini?
   
 10. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Lakini wafanyakazi wa TAZARA walitumia mishahara vibaya. Nakumbuka mwaka 1990 kima cha chini TAZARA kilikuwa TZS 42,000/- wakati mimi nilikuwa napata TZS 4,260/- nikiwa assistant officer serikalini, lakini katikati ya mwezi walikuwa hawana kitu kama mimi tu.
   
 11. K

  Kwitukutila Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mi nadhani alikuwa analia kwa kuwaona wamezeeka sana kuliko yeye, na hii ni kwasababu ya kutokuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi. Hizo picha za vitambi hazionyeshi hali ngumu ya maisha waliyonayo, labda tupate picha za majumbani mwao.
   
 12. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mh what?
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Nyerere hana shukrani, kaivunja EAC watu hajawalipa, kajengewa TAZARA waliotumika kawaacha kwenye mataa.
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Hilo jina utaendelea kuweweseka nalo for the rest of ur life.
  "Show forgiveness, speak for justice and avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
  Hayo maandishi yenye RED hapo juu yanathibitisha unafki wako.
   
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Kipi kilichokuuma, wazee kutokulipwa na Nyerere au wazee wa TAZARA kusahauliwa na Nyerere?

  Ukweli siku zote huwa una uma sana pale ambapo hutaki usemwe.
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  "Show forgiveness, speak for justice and avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
   
 17. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2011
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,424
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Yaani wewe umemchoma mkuki moyon Faiza! Faiza usiposhika adabu sasa basi dada yangu nakufuta katika idadi ya dada zangu. Nyerere alikufanyizia nini hata huwezi ukasahau kumtusi au kumkashifu hata mara moja! Matola asante sana kwa nukuu hii tamu na muhimu!!!
   
 18. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Hayo unayoanzisha mkuu mapyaaaa. Could not think in those lines
   
 19. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #19
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Kila mkisikia Nyerere ndio alifanya madudu mnaumia roho? hampemdi kusikia ukweli? mmekaa mnadanganywa na nyie mnakubali, hivi huwa hamsikilizi hata hotuba zake? kuna nini cha maana zaidi ya udikteta?
   
Loading...