Umekata tamaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umekata tamaa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jpinduzi, Dec 8, 2011.

 1. Jpinduzi

  Jpinduzi Senior Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Inawezekana umefikia kipindi cha kukata tamaa,mambo hayaendi,uliyemtegemea amekuacha,kazini mambo ndo vivyo tena hayaendi!Usikate tamaa,we fanya yafuatayo:
  1. Zungumza na Mungu kwa maombi (Yohana 15:7)
  2. Soma Neno la Mungu (Matendo 17:11)
  3. Uwe mwaminifu kwa Mungu (Yohana 14:21)
  4. Mshuhudie Kristo kwa matendo yako na maneno yako (Mathayo 4:19 na Yohana 15:8)
  5. Umtumaini Mungu kwa kila jambo katika maisha yako (1 Petro 5:7)
  6. Umruhusu Roho Mtakatifu akutawale (Wagalatia 5:16-18 na Matendo 1:8)
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mimi nimekata sana tamaa as kila nikiuliza mwanasiasa gani anaitwa Bi.KIROBOTO naishia kupewa WARNING
   
 3. Jpinduzi

  Jpinduzi Senior Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  usikate tamaa ni mbinu ya shetani ya kukuangusha ili umwamini yeye ,shetani hana nguvu,simama na kuacha kuangalia shida zako Mungu ni mkubwa kuliko shida unazopata,anza kuona shida ni ndogo na mungu ni mkubwa hakika utashangaa unavyobarikiwa na soma isaya uone 49:15 uchungu wa mwana aujua mzazi ambae ni yesu ,usikate tamaa.
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  AMEN pastor..!!
   
 5. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  si kama wanakukatisha tamaa Marytina...hilo ndo jina lake..WARNING..!!
   
 6. Jpinduzi

  Jpinduzi Senior Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Amina mpendwa!
   
 7. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 794
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  ok! bt wapendwa wengi mna matatizo sanaa na ndo mafisadi wa dawa za kulevya!
   
 8. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Bwana akubariki katika hilo mpendwa.
   
Loading...