zomea zomea ya washabiki:tafsiri yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

zomea zomea ya washabiki:tafsiri yangu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jingalao, Dec 8, 2011.

 1. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,482
  Likes Received: 10,698
  Trophy Points: 280
  naamini wengi wetu tumeangalia mechi ya leo kati ya kili stars vs uganda cranes.mechi ilikuwa nzuri na timu yetu ya taifa ilipigana kufa na kupona lakini walizidiwa kimchezo.kitu cha kusikitisha mashabiki wetu hawakuonyesha uzalendo hata kidogo.walikuwa wanazomea kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa mchezo.
  swali la kujiuliza je ni kipi kimewasibu mashabiki hawa?
  Tafsiri yangu:kwa ujumla wananchi hawaridhishwi na mwenendo wa mambo nchini kama,ubinafsi,ufisadi na dharau za viongozi kwa wananchi.
   
 2. G

  Greard Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Viongozi wetu wameshindwa uzalendo kwa nchi yao na kukumbatia vitendo vichafu dhidi ya raia wake itakuwaje wahabeki dhidi ya timu yao mbovu
   
 3. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,019
  Trophy Points: 280
  Kuna dis-satisfication kubwa kuhusu mwenendo mzima wa timu ya taifa na mpira kuchezwa mdomoni zaidi bila mikakati ya kiscience ya kuendeleza kabubumbu nchini
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  kwa nini rwanda kila kitu wanatuzidi?why?why?maambuki ya vvu rate yao 3 per sisi 7 per,michezo,export ya chai kahawa,uchumi kukua,elimu kila mtoto laptop,usafi,rushwa ipo chini,omba omba sisi tunaongoza,lugha wao wana 4 english,french,nyarwanda,hutu or tusi sisi tunakipiga vita english tubaki na swahili tuu maana kikabila watoto wetu hawakijui kabisa
   
 5. b

  buswe Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni taarifa kwa TFF na wizara ya michezo kwamba watanzania walishaacha kushabikia timu za ndani ni mashabiki wakubwa wa timu za nje km man u, Barca, zimbabwe, uganda, Rwanda nk. Utaona watakavyofurika uwanja wa taifa siku ya fainali.
   
 6. M

  MGOME Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Inasikitisha sana! Nilichogundua ni kwamba ignorance level kwa wapenzi wa
   
 7. M

  MGOME Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Inasikitisha sana! Nilichogundua ni kwamba ignorance level kwa wapenzi wa yanga ipo juu sana! Waelewa ni wachache mno!
   
 8. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,482
  Likes Received: 10,698
  Trophy Points: 280
  kwani ni mashabiki wa yanga tu?
   
 9. B

  Baseba Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mashabiki wa yang wanafikiri kwa mtindo wa masaburi
   
 10. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  WADANGANYIKA wamekua WATANGANYIKA wanonyesha Kutoridhishwa na namna mambo yanavyoendeshwa...huu ni mwanzo mziki mnene unakuja.
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  timu haina maadili michezaji mivuta bange milevi...we imagine mchezaji yuko kambini anakamatwa na zigo kalitoa kona bar anapinduana nalo ..sasa ataweza kweli kucheza mpira huyo au ni kutaka kututania tu ...
   
 12. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  MKuu wale waliokuwa wanazomea ni mashabiki wa yanga. 7bu ya kuzomea ni uchache wa uteuzi wa wachezaji wa yanga kwenye timu iliyoshiliki haya mashindano na kudai kuwa haikuwa kili staz bali ni simba sports club kutokana na kuwa na wingi wa wachezaji.

  wachezaji hao ni
  1. Juma k juma
  2. Juma jabu
  3. S.kapombe
  4.j.nyoso
  5. M.kazimoto
  6.h.moshi (baloteli)

  kutoka yanga ni

  nurdin bakari tu.
   
Loading...