Mwanajeshi JKT akamatwa na gunia 12 ya bangi moro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanajeshi JKT akamatwa na gunia 12 ya bangi moro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Dec 8, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwanajeshi mmoja wa JKT ambae alitakiwa kushiriki katika gwaride la miaka 50 uhuru hapo kesho.
  Source uchambuzi magazeti magic
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,819
  Likes Received: 10,108
  Trophy Points: 280
  Duh, huyu hayumo kweli kati ya wale 28-58??????? Ila naskia ni dogo ana 26 yrs tu kaona salary ndogo na jamaa wanaendelea kuongezeana posho tu, sasa walimu tutauza nini? Manesi na madaktari wanauza dawa, polisi na mahakama wao ni rushwa ndio wamegeuza kama BONUS na OVERTIME wanasiasa wao wamekua VIBAKA!!! haya sijui......
   
 3. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Walimu ni kuuza chaki,unaenda kazini kusaini unasepa zako
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli TZ inakoelekea ni kubaya maana walim walijaribu kuuza maandazi na vitumbua na wameshindwa kutoka kabisa mwishowe watajashika mitutu na kuwa majambazi. Pia sitoshangaa siku kusikia hawa wanajeshi na police ndo majambazi wanaotuvamia mtaani
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Chaki utamuuzia nani? Labda wauze viwanja vya shule na madarasa
   
 6. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,210
  Likes Received: 3,819
  Trophy Points: 280
  Ale wapi yeye. wabunge wanajigawia hela zetu kama njugu. Huyu amesahauliwa, ngoja na yeye atafute survival.
  Mfungeni kwa kumwonea tu. Yeye hana platform ya kuongezewa posho, platform yake ni bangi. He is right in tanzania situation!!!
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kwani hilo hulijui mkuu? Nenda pale kwa Mathias kibaha, uliza mtu yeyote kuhusu jambazi wanatoka jeshi gani, utasikitika. Ni kuomba mungu mwenyekiti wetu wa chama apunguziwe madarakani mwakani ili awajibishwe.
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kwanza huyu Mjeda kazitoa wapi? Hao police walikataa kitu kidogo au jamaa aliwapiga mkwara kwa ujeda wake? Maana police na bangi tangu lini wametenganishwa?
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  jamani maisha magumu na mishahara yao haijaongezwa na hawana sitting allowance kama wabunge wetu..
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  Kwani huyo jamaa ndo mhalifu pekee wa kutushitukiza kwenye hii nchi yetu? Mbona wanaotuibia kwa rushwa na ufisadi wanapeta tu. Hawaguswi na mtu yoyote. Unafiki utatufikisha wapi?
   
 11. s

  semako Senior Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamemuoonea tu mbona bangi bongo sio dhambi
   
 12. Ondio Osio

  Ondio Osio Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Soluteeee,kamanda wamemuonea kmkamata anajitafutia ngawila garama za maisha zimepanda.
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Itakuwa walipishana kauli afu nasikia likuwa usiku
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,753
  Trophy Points: 280
  alikuwa anawaletea
  wenzie ili watandike
  kwata vyema hapo
  kesho
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu hatujamaanisha ndiye mhalifu pekee, hapa tunataka kuonyesha tu gharama ya maisha inavyozidikupanda huku mishahara ikabaki palepale inasababisha watu wengi kufanya mambo kinyume na maadili ya kazi zao mfano huyu mwanajeshi alitakiwa kuwa kambini akijiandaa na gwaride hapo kesho ila kutokana na ugum wa maisha amejikuta akifanya mambo ambayo ni iligal kwenye nchi anayoitumikia
   
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,753
  Trophy Points: 280
  kwa taarifa yako
  wengi wao ni majambazi
  sugu yenye kiwango
  cha juu sema wanalindana na kubebana kalaghabaho
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Alafu mbona bangi na madawa yakulevya yakikamatwa wanatuhabarisha ila zinakopelekwa hatuhabarishani? Bora hata bangi wakizikuta mashambani siku mojamoja wanazichoma tukiwa tunaziona je haya madawa yakulevya yanaishia wapi?
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,529
  Trophy Points: 280
  kila mtu anatafuta namna ya kutoka,
  hata kama kwa njia za haramu.
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kumbe kwata bila ganja haliendi hee!
   
 20. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,781
  Trophy Points: 280
  Mh.Godbless Lema; "...Watanzania wenzangu, popote mtakapomuona askari yeyote ameanguka njiani kwa njaa kali, naombeni mumsaidie kumuinua tena mpeni maji anywe kwani askari wetu ni moja kati ya wafanyakazi wa serikali wanaoteseka kwa ugumu wa maisha tunayosababishiwa na serikali yetu iliyojaa unyonyaji na inayoendekeza matumizi mabovu ya rasilimali zetu...." Mwisho wa kunukuu
   
Loading...