M/kiti UVCCM Wilayani Arusha amefiwa

M/kiti UVCCM Wilayani Arusha amefiwa

CHIPANJE

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
321
Reaction score
53
M/kiti wa UVCCM wilayani Arusha,Bw.Godfrey Mwalusamba amefiwa na mkewe.

Redioni.
 
pole sana chipukizi mkuu kwa kumpoteza umpendaye RIP mama mwalusamba
 
Pole ni msiba ndugu Mwalisamba, Mungu akutie nguvu wakati huu mgumu. Nashauri makundi yote yanayohasimiana yaweke tofauti pembeni kwa muda hadi msiba uishe ndio hisia za 2015 zirudi. Poleni wafiwa
 
Back
Top Bottom