Umeme kukatika usiku huu wa mkesha wa miaka hamsini ya uhuru. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme kukatika usiku huu wa mkesha wa miaka hamsini ya uhuru.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by marhaba, Dec 8, 2011.

 1. marhaba

  marhaba JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 583
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wadau, hapa nilipo sasa ivi ni maeneo ya manzese, na hakuna umeme na ninafanya survey na kugundua kwamba si manzese tuu ambapo hakuna umeme...kuanzia maeneo ya magomeni hadi manzese ni giza. Je miaka hamsini ya uhuru na giza totoro hili tunacha kujivunia kweli.? Au kuendekezana na upumbavu wa hali ya juuu. Tz1961 giza totoro-the slogan.
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,280
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  50 yrs
  no power
  no water
  no fuel
  no sugar
  no democracy

  bas tupotupo tu!
   
 3. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbona wewe UWT ndiye uliwaingiza madarakani wakati wananchi hawakuwapa kura??? Leo unalalamikaia nini????? Tulia utafunwe mpaka wajomba zako wote mtakiona!!!!!!!!!! Unacheza na magamba-hukuona yamegomea kiunoni kule Idodomya???????????
   
 4. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,128
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Khaaa !
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,908
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Uku kwetu upo wanasema hii line inaenda ikulu
   
 6. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mh? Yan kwa ujumla miaka hii 50 ya matatzo
   
 7. marhaba

  marhaba JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 583
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Tumethubutu, tumeweza na twasonga mbele....teh teh
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 55,587
  Likes Received: 19,995
  Trophy Points: 280

  Haya yote ni matunda ya Rais ambaye ni chaguo la mafisadi.
   
 9. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,542
  Likes Received: 4,236
  Trophy Points: 280
  Mpaka kufikia 2015 tz itakuwa na giza mpaka mchana.Hawa kenge watalifanyia ufisadi mpaka jua.
   
Loading...