Jee ikiwa 9 December ni Uhuru wa Tanzania? Wa Tanganyika uko lini? Comfuse.com | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jee ikiwa 9 December ni Uhuru wa Tanzania? Wa Tanganyika uko lini? Comfuse.com

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kakke, Dec 8, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180

  Ndugu zangu wa Tanganyika Musikubali kuwa mateka wa ccm kwamaslahi yao binafsi bora muwe mateka wa Tanganyika kwakwa uzalendo wa historia ya nchi yenu.

  Hivi sasa Wazanzibar wanajipapatua na tecnic hizi za ccmkatika Muungano kuona kuwa Muungano ni fake na hakuna mwenye kufaidika katikamaradhi haya, ispokuwa ni ilani tu za ccm naviongozi wake kujilimbikizia mamalina kuzidi ccm kutawala.

  Ukweli wa Muungano ni utata uliotiwa na ccm kwa wananchi wapande zote mbili za Muungano na upande moja wa Muungano ccm waliweza kufanikiwanipale walipo iuwa Tanganyikana Zanzibarikawashinda.

  Kilicho wasababisha Zanzibar iwashinde ni kuweko kwaZanzibar yenyewe na Bunge lake(BLW) na katibayake, yote haya yalikuja kutokana na nguvu za Wzanzibar wenyewe kutokuwa tayari kuitwa Watanzania na kujikubalishakuwa Watanzania.

  Wazanzibar siomajua, Watanzania ni watu wan chi gani?

  Tukubali kuwa 9December ni uhuru wa Tanganyika kamawanavyo sema viongozi wetu kuwa musishangazwe na jina? Jee Bendera ipi itakayoPandishwa kesho?

  Nyiyi munajifanya Bongo men lakini Wazanzibar ndio Bongomen, hawakukubali utaifa wao ufe na badae wawe Cumfuse.com

   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. W

  Wink Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  please edit tena hiyo Article yako
   
 4. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tunasherehekea uhuru wa nchi ambayo tunaogopa hata kuitaja ...naona hata kwenye mabango kuna wengine wanaiita 'Tanzania bara' wengine wanaiita kwa jina lake Tanganyika. Kwetu sisi tuliozaliwa miaka hii inatutesa kweli na hatuelewi hata kinachoendelea
   
 5. G

  Giroy Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunataka serikali ya Tanganyika
   
 6. j

  janejean Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fafanua vizuri mdau!! kwanza wewe mwenyewe huko upande gani?
   
Loading...