Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

nikiwa nimewasili mkoani Mtwara nimekutana na tangazo kwenye station ijulikanayo kama Mtwara cable kwamba kuna tiba ya UKIMWI na malazi mengine huko Msijute nje kidogo ya mji wa mtwara na namba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa za uhakika toka kwa alikuwa mfanyakazi wa Upatu ni kwamba Mzee Stephen Kakete ambaye alikuwa mkugenzi a?efariki leo asubuhi baada ya kuugua kwa muda..inasemekana msiba upp tabata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mda mchache uliopita nimeangalia total cost ya simu nilizopiga kwa the last 3 years, nimegundua nimeliwa kama Noah 1 na nusu ivi, wakati sina uwezo wa kununua, na hapo ni mtandao mmoja tu. Hii...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzania sasa ni miaka 50 ya uhuru tumesha sherehekea na tarehe 12/12/2011 ndio waziri mkuu alitia hitimisho ya maadhimisho ya kusherehekea ila kuna kit2kimoja nataka niulize ivi hizi sherehe ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kasheshe usiku huu. Ni za nini tena na nimesikia wamepata boom leo? Magari yavunjwa vioo! Nielewesheni kisa!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napata tabu sana ninapoona viongozi wengi hapa nchini na kote duniani wakisimama kudai kwamba wanawake ndiyo wazalishaji wakuu wa familia na kwamba wanaume huwa wanatumia pia mapato hayo yaliyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF nimewamis saaaana Lakini leo nimekuja na habari njema ya taarifa ya kuanza mgao wa umeme :flame: tuliouzoea :juggle: kama una hela za kutosha kanunue umeme wa kutosha kama una ndoo kubwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni huko Iringa. Mama mmoja na familia yake ya watoto kadhaa waliandaa karamu ya chakula cha sumu kwa lengo la kujiua kutokana na ahadi ya Dr. Dr. Dr. Dr. Luten. Kanali. Mheshiwa. Mr. Jakaya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa sisi wakazi wa Posta tunashangazwa na ubovu wa mipango miji ulioko Posta. NHC wako bize kujenga maghorofa wao na wabia wao yasiyo na mahegesho ya kutosha. Fikiria jengo la ghorofa 11 lina...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
tanesco hivi ndivyo mmeanzia kukusanya malipo ya dowans? siku ya ijumaa siku ambayo tulikuwa tunaanzimisha miaka 50 ya uhuru. tanesco waliingia mitaani na kuanza kukata kata umeme katika majumba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SONG MR-PRESIDENT ARTIST R.O.M.A PRODUCER J-RIDER + YUDDI STUDIO TONGWE RECORDS CONTACTS R.O.M.A- 0717-72007_? romabraq@yahoo.com INTRO By…..Mwl. Julius Kambarage Nyerere Ikulu ni mahali...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Mbunge wa Hai (Chadema), Freeman Mbowe Polisi wamkamata Mbowe, ahaojiwa na kuachiwa Mbunge wa Hai (Chadema), ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jana alishikiliwa na...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Ndugu wana JF wenzangu, kuna jambo nimeliona kwenye barabara ninayopita kuelekea nyumbani kila siku ambalo sio la kawada. Katika kipindi kisichopungua wiki mbili magari matatu madogo yameungua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna tetesi nimesikia kuwa boom kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini DODOMA imeongezeka kwa asilimia 154 kwani garama za maisha zimepanda sana katika huu mkoa. Vilevile mishahara na posho kwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mdugu zangu naomba popote mtakapokutana na Mchina mniite haraka ili nije nilipe kisasi. Nimenunua Nokia 6680. Simu ambayo nimekuwa nikiitafuta kwa muda mrefu sasa kutokana na uwezo wake mkubwa wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Tumesikia na kushuhudia matokeo ya kauli mbiu hii. Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele! Kauli mbiu inayokwenda kinyume na hali halisi ilivyo...nasubiri kwa hamu kauli mbiu ya miaka 35 ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
polisi watatu,bunduki na virungu mikononi dhidi ya mwanachuo aliyebeba laptop!Je huyu mwanafunzi alikuwa ana-riot?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani wana jf,mm nipo kikazi dodoma takribani mwaka na nusu.gharama wanazo ziseema hawa waeshimiwa kupanda bado sijaziona.kwa kifupi hotel zilizopo dodoma ambazo zinahadhi inayofaa ni dodoma...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Wadau naomba mnisaidie,ilikufanya kazi kwa ufanisi kama human resources management officer(wa tasisi ya uma-training institute) naitaji kuwa na nondo gani za muhimu kuniwezesha kufanya kazi hii...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Did you know 11% of people are left handed. Wadau leteni nyingine na zenye kuelimisha zaidi.
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…