Human resources officer-msaada

mazikukulwa

Member
Aug 13, 2011
39
3
Wadau naomba mnisaidie,ilikufanya kazi kwa ufanisi kama human resources management officer(wa tasisi ya uma-training institute) naitaji kuwa na nondo gani za muhimu kuniwezesha kufanya kazi hii? Mfano copy za sheria gani? Public standing orders na yapi mengine?
 
zana za kazi unapewa na mwajiri wako. huzitafuti wewe
 
Standing Orders ndo iwe msahafu wenyewe then staff Circulars issued from tome to time pamoja na nondo zingine utakazopewa na wajiri wako huyo. :focus::typing:
 
Kama ni serikalini ndugu yangu hao watu wamezoea mambo ya personnel amanagement sasa hiyo HR yako mh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom