Tathmini ya gharama za maisha Dodoma

evaluator

Senior Member
Feb 15, 2011
181
50
Jamani wana jf,mm nipo kikazi dodoma takribani mwaka na nusu.gharama wanazo ziseema hawa waeshimiwa kupanda bado sijaziona.kwa kifupi hotel zilizopo dodoma ambazo zinahadhi inayofaa ni dodoma hotel,st.gasper,afrcan dreams,modern hotel,loyal vilage,dia mama hotel,kidia hotel nazingine kama mbili zenye hadhi kama nilizo taja.hotel zote hizo zina vyumba vyenye bei kati ya elfu 35-85,dodoma hotel na st gasper kunavyumba vya bei kali wastani wa laki 360000 maximum ambavyo vyenye price hiyo ktk hotel zote mbili havizi hamsini,chakula kwa st.gasper na dom hotel ambazo hizi ndo zenye gharama maximum plate 25000,sehemu za kawaida kuku mzima ni elfu kumi,je wao hua wanalala wapi na kula wapi?je tufatilie register zao tuone maotel na vyumba wanavyo lala?mm nafikili kwa ushauli kuwepo namtu anaeandaa sehemu za hawa waheshimiwa kulala,na bufee ya vyakula vyote!kila mbunge alale pale na ale pale nasio kupewa hela mkononi!au kama wanavyosaini posho wapitishiwe karratasi kila mtu ajaze anataka kula nn kwa siku nzima kiandaliwe na kulipiwa na mtu mmoja kwaniaba yao!wazo tu lkn
 
Baadhi yao wanataka nyongeza ili wandeleze 'UFUSKA' kama Gazeti la Ijumaa la wiki hii lilivyodai.
 
Pesa wanaishia kuhonga halafu wanasema hazitoshi. Huyo bi nanihii nasikia na yy shuga-mummy.
 
Bila kusahau Gift land na Desert palm ghalama kwa chumba haizidi 50elf na chakula kati ya 2500 na 3000, hzi zote hufikiwa na waheshimiwa mara kwa mara.
Jamani wana jf,mm nipo kikazi dodoma takribani mwaka na nusu.gharama wanazo ziseema hawa waeshimiwa kupanda bado sijaziona.kwa kifupi hotel zilizopo dodoma ambazo zinahadhi inayofaa ni dodoma hotel,st.gasper,afrcan dreams,modern hotel,loyal vilage,dia mama hotel,kidia hotel nazingine kama mbili zenye hadhi kama nilizo taja.hotel zote hizo zina vyumba vyenye bei kati ya elfu 35-85,dodoma hotel na st gasper kunavyumba vya bei kali wastani wa laki 360000 maximum ambavyo vyenye price hiyo ktk hotel zote mbili havizi hamsini,chakula kwa st.gasper na dom hotel ambazo hizi ndo zenye gharama maximum plate 25000,sehemu za kawaida kuku mzima ni elfu kumi,je wao hua wanalala wapi na kula wapi?je tufatilie register zao tuone maotel na vyumba wanavyo lala?mm nafikili kwa ushauli kuwepo namtu anaeandaa sehemu za hawa waheshimiwa kulala,na bufee ya vyakula vyote!kila mbunge alale pale na ale pale nasio kupewa hela mkononi!au kama wanavyosaini posho wapitishiwe karratasi kila mtu ajaze anataka kula nn kwa siku nzima kiandaliwe na kulipiwa na mtu mmoja kwaniaba yao!wazo tu lkn
 
Uzuri na Ubaya wa waTZ tunaishia kulalamika tu badala yakuchukua hatua mbadala
 
Kwa lugha nyepesi ni kuwa matumizi huongezeka kadri mapato yanyoongezeka. Ukiwa pa hata 1M kwa siku, bado matumizi yataongezeka. Cha msingi hapa sio kuwa gharama sehemu husika ni kiasi gani, ila sheria na taratibu zinaeleza nini kuhusu gharama za kujikimu unapokuwa nje ya kituo chako cha kazi. Mathalan, mtu unaweza ukapokea posho (per-diem+ sitting allowance) Tsh 150,000 lakini matumizi yako yakawa 50,000 tu, wakati mwingine zitakuwa 300,000 kwa siku hiyo hiyo. Pasipokuwa na nidhamu kwenye matumizi ya serikali, hata matumizi binafsi ya masurufu yatokanayo na serikali yatakuwa hovyo.

Kwa urahisi, gharama za hoteli na chakula zitakuwa juu kwa kuwa waheshimiwa wamekuwa na uwezo wa kuzilipa siku zote, na sio kwamba ni leo kwa kuwa wanataka kupandishiwa sitting kufikia Tsh 200,000.

Nakumbuka mwalimu wangu wa B-Kpng alitufundisha kuwa tatizo sio kipato ila watu hawako makini na fedha (People are not cleaver with money, Mwl-Msomali)
 
Uwanunulie msosi wanasiasa? Unataka wamalizane wenyewe? watu full kuwindana kila siku, hadi wengine hawali, hawanywi hata ofisini kwao wanakofanyia kazi karibu kila siku. Sasa leo uwaandalie msosi, vipi usalama wa huo msosi na ninani atakayekuwa na jukumu la kusupply msosi? Kuhusu vyumba vya kulala, si unajua tena waheshimiwa wengi wanapoenda DDM wanakuwa huru zaidi! kwa hiyo matumaini yyanakuwa juu. Hata zile sehemu za kulala nazo zinapanda kulingana na jina la mtu anayeenda kulala.
 
jamani gharama za mademu zao wa chuo zimepanda hvo wanataka kuongeza kipato ili waendelee kuhonga madem zao
 
Bila kusahau Gift land na Desert palm ghalama kwa chumba haizidi 50elf na chakula kati ya 2500 na 3000, hzi zote hufikiwa na waheshimiwa mara kwa mara.

Hiyo siyo bei ya chakula kwny hizo hotel,hiyo ni bei ya restraunt hapa dodoma km mbalamwezi,zahir annex,desert palm chakula minimum ni sh 6000,licha ya hivyo gharama si kubwa kias kwmb wapandishiwe posho hvyo
 
Hiyo laki mbili ni gharama ya kupanda udom kila siku kuchukua mademu,coz kuna kimlima pale so mafuta yanatumika sana
 
The higher the income the higher the spending
Ili suala lapaswa kujadiliwa in the next session maana izi analysis zote zichambuliwe.
Maana kama wanataka ela zaidi ya kutanua wakati wananchi wanaumia kwa one dola kwa siku sasa watakuwa wanamwakilisha nani?
 
Msimu huu tukiyaacha yatazoea manini unauliza?hayohayo yakianza kugawana hizo bilioni42.9 kwa mwez ambayo kwa miaka iliyobakia yakigawana inatosha kwa ujenz wa barabara za lami nchi zima hadi mtaani kwa bibi ako,sasa basi kama tukishindwa yachukue,tuyatake yaweke sitting allowance elfu 50 kwa bunge la kumi na moja afu kila limoja litoe wazo ili lionekane jimboni kwake lilifuata nin?na mapato yao yawekwe wazi baada ya hapo tuyasubir 2015 kwa maisha ya dodoma sio hivyo labda yangenieleza kwa maisha ya kigoma na bukoba sijafika nisingedanganyika
 
Gharama zilizopanda siyo za wananchi wa kawaida. Gharama zilizopanda ni za maisha ya wabunge, si unajua wanakula wapi wanalala wapi?
bila shaka wewe unakula kwa mama ntilie!

Back
Top Bottom