Polisi na Vurugu za Muhimbili, siku ya Mahafali

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
525
131
polisi watatu,bunduki na virungu mikononi dhidi ya mwanachuo aliyebeba laptop!Je huyu mwanafunzi alikuwa ana-riot?
 

Attachments

  • muhas.jpg
    muhas.jpg
    35.7 KB · Views: 95
Mkuu! Duh! Huyu Kamanda kauwa? Jamani hawa watumishi wa sisiem sasa ni mizigo kwa jamii! Lakini mwisho wao waja hakika!
 
Source ni: Sunday News. Sasa tujiulize hawa polisi wanatafuta sifa kwa kuwakamata innocent? Laptop, then riot. Nonsense. Na jamaa wamemzuilia kituo cha Salender, tuhuma gani atajibu?
 
ni kama mwenye bitto anavyoona hasira kwa mwenye Vogue.

Darasa la saba mwenye cheti feki cha form four lazima amchukie mwanachuo
 
Ila wajue mwosha huoshwa siku ya maovu yao wanayofanya yaja na haiko mbali
 
Kweli mmenifungua macho!! Mtu mwenye laptop anariot vipi? Wameshindwa kuwakamata wahalifu wakamkamata kijana wa watu katoka kujisomea au anakwenda na hakujua kama kuna fujo!! Huwezi kwenda kufanya fujo na laptop ambayo ni delicate sana na ni expensive! Ukiibomoa halafu utapata wapi ingine na wewe ni denti??? Wamemwonea masikini. Tena mpole maskini kaangalia chini. Angekuwa ana riot angeresist!!
 
Back
Top Bottom