Boom laongezwa na posho kwa wafanyakazi wote zimeongezwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boom laongezwa na posho kwa wafanyakazi wote zimeongezwa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Graph Theory, Dec 10, 2011.

 1. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Kuna tetesi nimesikia kuwa boom kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mjini DODOMA imeongezeka kwa asilimia 154 kwani garama za maisha zimepanda sana katika huu mkoa. Vilevile mishahara na posho kwa watumishi wote waliopo DODOMA wameongezewa asilimia 154 sababu ikiwa hiyohiyo, sasa sijui kama kuna ukweli mwenye taarifa zaidi atujuze.
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Acha utani wewe
   
 3. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Huna account fb?!
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Ni kweli, maisha ya Dodoma yamepanda sana! Hongera serikali!
   
 5. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Mweeee!
   
 6. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  ni kweli huo ni ushauri uliotolewa na Madam Speaker/Kipaza sauti umekubalika Sirikalini kuwa Dom gharama za maisha ziko juu sana tofauti na sehemu nyingine za Tanganyika. Tena nasikia Mwishimiwaaa Kipaza sauti ameomba jimboni kwake posho za aina zote zifutwe kwasababu amewezesha gharama za maisha kushuka chini kuliko sehemu yoyote ya Tanganyika huru. Big up Madam Kipaza Sauti
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,776
  Trophy Points: 280
  juzi uliangalia FUTUHI ehh??
   
 8. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  duh haya bwana, hongera wakazi wa Dom.
   
 9. K

  Kwaito Senior Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh nona kuna haja watu tuhamie DODOMA sasa
   
 10. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Kwani Dodoma si Tanganyika ?kwa maana maisha yamepanda Tanganyika yoyote.Sawa basi Dodoma na UDOM yao iko Marekani bana
   
 11. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  na mkoa wetu mbona maisha ni rahisi sana hata wakiondoa mishahara tunaishi tu. tunaomba waiondoe ili wachangie mikoa mengine kama dom.
   
 12. k

  kaeso JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huo utani.
   
 13. s

  semako Senior Member

  #13
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha uongo
   
Loading...