Ni nini itakuwa kauli mbiu ya miaka 34 ya kuzaliwa CCM? Tafakari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nini itakuwa kauli mbiu ya miaka 34 ya kuzaliwa CCM? Tafakari!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Dec 11, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tumesikia na kushuhudia matokeo ya kauli mbiu hii. Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele! Kauli mbiu inayokwenda kinyume na hali halisi ilivyo...nasubiri kwa hamu kauli mbiu ya miaka 35 ya kuzaliwa CCM Sijui itakuaje! Labda itakuwa hivi, tulipanda, tumevuna sasa tunakula!
   
 2. K

  Kwaito Senior Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuliwaibia, tunaiba na tutaendelea kuwaibia mno!! mimi nadhan hii ndo itakuwa kauli mbiu ya CCM
   
 3. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jk rekebisha hapo kwenye 34 weka 35.
   
 4. s

  semako Senior Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumeiba,tumetajilika,tunasonga mbele
   
Loading...