Magari Matatu Yaungua Moto katikaka Kipindi Kisichozidi wiki mbili Dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magari Matatu Yaungua Moto katikaka Kipindi Kisichozidi wiki mbili Dar es salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyikanavome, Dec 12, 2011.

 1. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF wenzangu, kuna jambo nimeliona kwenye barabara ninayopita kuelekea nyumbani kila siku ambalo sio la kawada. Katika kipindi kisichopungua wiki mbili magari matatu madogo yameungua moto kutoka njia panda ya Kawe mpaka Mbuyuni. Moja limeungulia Karibu na Mbuyuni, Lingine pale africana na lingine karibu na pale njia panda ya Kawe.

  Kwa mtizamo wangu naona hili jambo litakuwa na sababu na si la kawaida: pengine kuongezeka sana kwa jato au maji mengi barabarani pengine yamesababisha shoti ya umeme. Nakaribisha michango ya wana Jf wenzangu kuhusu hii issue na kama kuna mtu ameona trend hii katika maeneo mengine ya jiji hili.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wape pole woe waliounguliwa na magari yao..
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,861
  Trophy Points: 280
  Mwisho wa mwaka na mambo ya bima.....mimi nemeyaona yote bei mbaya NAVARA,DISCOVERY na BENZ
   
 4. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Unataka kutuambia kuwa wameyachoma wenyewe ?????
   
 5. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Insurance kazi ipo kweli kweli!
   
Loading...