Vifaa vya Kijeshi na Makomandoo miaka 50 ya uhuru- Hii ni Tafsiri Yangu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vifaa vya Kijeshi na Makomandoo miaka 50 ya uhuru- Hii ni Tafsiri Yangu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bornvilla, Dec 11, 2011.

 1. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Maonesho ya vifaa na zana za
  kivita kama vifaru,makombora
  na maroketi pia na
  makomandoo katika sherehe
  za kuadhimisha miaka 50 ya
  uhuru wa Tanzania bara siku ya tarehe 9/12/2011. Kwa
  watu wa kawaida
  walilichukulia kawaida! Lakini
  kwa upande wangu mimi
  lilikuwa tukio zito na lenye
  tafsiri nzito. Kutokana na kuwepo kitisho cha serikali
  kupinduliwa ndani ya si
  miamoja,hilo lilikuwa taarifa
  kwa wapangaji wa mpango
  huo kuwa serikali iko imara na
  vifaa na wataalam vipo na wapo. Anayetaka aje
  tutamshughulikia. Serikali
  imetoa onyo na kuwatoa hofu
  wananchi kuwa vifaa vya
  kisasa vipo na uwezo wa
  kupambana na adui wa ndani au wa nje upo. Pia kwa
  upande wa Mh.Rais Kikwete ni
  kuwa alidhamiria kutuonesha
  kuwa kweli yeye ndio amiri
  jeshi mkuu wa majeshi japo
  inajulikana. Kwakuwa hadi sasa serikali ipo katika
  uchunguzi juu ya kitisho
  kilichotolewa hivi karibuni
  kuwa serikali iachie madaraka
  ndani ya siku miamoja,basi
  hilo lilikuwa onyo.Na hiyo ndio ilikuwa tafsiri yangu juu ya
  zana za kivita na
  makomandoo.
   
 2. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hakuna jeshi la kisasa mkuu pale vifaa vyote hasa zile tanks ni antiques they date way back vifaa pekee vya kisasa labda zile jet mbili alizotuletea mchina ambazo hatutaki kuzionyesha ama bado tunajifunza kuzitumia. Sherehe ya miaka 50 ya Uhuru ilitakiwa iminimize military dominance naKufocus vitu vingine vyakuvutia so ukisikia sherehe, sherehe kweli lakini c0 kama sasa utafikiri kesho vita..
   
Loading...