Kumbe polisi nao majambazi?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe polisi nao majambazi?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gervase, Dec 10, 2011.

 1. g

  gervase Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimefanya ka mini-research barabarani nikasafiri kutoka ngara kupitia kahama, nzega, singida hadi Arusha. Katika vituo vyingi vya polisi (about 75%)ya vyote, dreva na kondakta mmojawapo anatoka nje kwenda nyuma ya gari kumrekebishia trafiki au polisi. Mwisho wa safari nilimuuliza ameachia ngapi akajibu kawaida kila kituo lazma zibaki jero kumi, na wastani lazima kilo tatu ziishe kwa kila safari. Kwa mtindo huu naona hawa jamaa nao pia ni majambazi ingawa wao hawafyatui risasi. Mbinguni ni mbaaaali!
   
Loading...