Natafuta Ofisi, Mwenge, Kijitonyama au Sinza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Ofisi, Mwenge, Kijitonyama au Sinza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tanganyika2, Dec 6, 2011.

 1. T

  Tanganyika2 Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JF,
  Nisaidieni jamani.
  Natafuta nafasi ya ofisi ndogo ya kitaalamu na yenye kuweza kuacomodate wataalam 4 - 6 ambayo gharama zake ni kati ya 5 -6 Slaas a month.
  Haraka tafadhali.
   
 2. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,865
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Mtafute Dalali JUMA MHAYA AKA JONI akupeleke kwa mwenye Fremu MAMA MUNIRA AKA SADA
  utapata fremu hata kwa laki moja kwa mwezi. ukimkosa Juma Mhaya Mtafute Lugano na Joakimu
  Fremu utapata tena ya Bei poa! Hiyp pesa yako utakwenda lipia Hospital kwa mama ngoma, lugalo au Agakhan.
   
 3. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,865
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  umepata hiyo ofisi?
   
Loading...