Ni sahihi kuonesha silaha za vita ambazo hatujatengeneza sisi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sahihi kuonesha silaha za vita ambazo hatujatengeneza sisi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mhondo, Dec 9, 2011.

 1. m

  mhondo JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya uhuru nimeona kwenye maandalizi kulikuwepo na magari ya kivita, mizinga na ndege za kivita. Swali langu je ni sahihi kwa nchi kama yetu kuonesha vifaa vya kijeshi ambavyo hatujavitengeneza?. Ukiangalia nchi kama China, korea kaskazini na nyinginezo kwenye sherehe kama hizi wanaonesha zana za kivita ambazo wametengeneza wenyewe ili kuonesha nguvu zao za kijeshi. Ni hayo tu.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ufinyu wa mawazo wa viongozi wetu.nadhani hawana la maana la kuonyesha ndo maana..
   
 3. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Si tumenunua kwa hela zetu?
   
 4. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Ni heri kwetu kuwekeza kwenye Elimu ili tutengeneze zetu wenyewe! kuliko hiyo mitumba tunayo nunua ya vita kuu ya pili ya Dunia!
  Ndiposa JN alianza kutekeleza ndoto hiyo kwa kujenga project za Mzinga na Nyumbu. ili kwenda na wakati huu wa vita ya biashara.
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,913
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Labda wanaonesha vifaa vilivyotengenezwa Nyumbu, hivi bado ipo?
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ni ulimbukeni na kujitia tunaweza vita wakati nchi sio huru zaidi ya uhuni na uonevu wa serikali yetu..
   
 7. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Hence they're obsolete!
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwa kamishen kama radar!
   
 9. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  unaona mbali Mkuu! Niwachache sana wenye mawazo kama yako, tumebakia na ushabiki wa kitoto!
   
 10. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Ni sawa kama unasaidiwa buku jero, badala ya kununua unga robo na tembere ule na wanao, unaenda nunua miwani ya jua!
   
 11. m

  mbweta JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yan vile vimenunuliwa kwa ajili ya maonesho ya Uhuru vile vyetu vyenyewe vibovu vinajilipua vyenyewe.
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Kwani Tanzania ndio nchi ya kwanza dunia kuonyesha silaha ambazo hawakuzitengeneza? Mbona ni utaratibu dunia nzima kwenye sherehe za uhuru au za kitaifa wanaonyesha silaha sio lazima mpaka utengeneze
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Dec 9, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mbona nanenane mnaoneshaga mazao yenu na bado nchi inakabiliwa njaa almost kila mwaka?
   
 14. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #14
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Karibu kwenye sherehe za UHUNI wa ccm.
   
 15. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #15
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 848
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Tunazungumzia kuhusu TANZANIA, ya nchi nyingine hayatuhusu!
   
 16. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,771
  Trophy Points: 280
  Na hata kama itakuwa hizi silaha tumezitengeneza sisi, je uhuru wa Tanganyika ulipatikana kwa mtutu wa bunduki kiasi cha kusherehekea kumbukumbu hizi kwa kutumia gharama kubwa kufundisha uoga kwa silaha hizi za kivita???
   
 17. Mmasihiya

  Mmasihiya JF-Expert Member

  #17
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 368
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Tudai hela yetu ya matangazo kwa waliotuzia hivyo vifaa, haiwezekani tufanye matangazo ya biashara bure'
   
 18. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #18
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  sasa kama kigezo chetu ni nchi nyingine, mbona mnamkoromea Cameron na Obama? si tuige tu!
   
 19. Rogate

  Rogate JF-Expert Member

  #19
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uvivu wakufikiria ndio unaotusumbua. Wameamua kwa hiari yao kucopy na kupaste wanachofanya nchi za magharibi bila kujua wao wanaonyesha uwezo waliojijengea kwa kipindi cha uhuru wao
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mbona unaropoka kijana hayo maneno ungemwambia muanzisha thread kazitaja nchi za China na Korea..

  JF sio sehemu ya porojo
   
Loading...