Wana udsm watangaza vita mdaa huu

Skype

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
7,266
1,631
Ktk hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa udsm sasa wapo block G ya mabibo hostel wanajianda kupambana na utawala kuanzia j3 kwa kukosa bumu pamoja na wenzao 45 kusimamishwa masomo. Nipo hapa maeneo ya hostel na sasa wanajiandaa kuanza mazoez ya kijeshi usiku huu muda si mrefu. Much more updates to come.
 
Wametangaza kua na majeshi ya aina mbili yaan MUNGIKI NA ALSHABAB. Sasa naona wameanza mazoez rasmi na baada ya hapo watarudi tena kupeana mikakati ya namna watakavopambana na utawala + FFU. Kaz ipo.
 
Hao wanatafuta kipigo tu inakuwaje wanareveal strategies zao..............kabla ya siku, labda kidogo nao waanze kutumia mabomu ya petrol na sukari pale wanapopigwa ya machozi.
 
Sasa wamekusanyika tena, ngoja nisikie wanasema nini. Kwa kweli ni hamasa kubwa sana sijui mwisho wa haya mambo ni nini. Subiri.
 
Kuna jamaa hapa anawahamasisha kwelikweli, sasa ameanza kuwahutubia.
 
Naona hali ya hatari inaendelea kutangazwa, kuna tarifa pia kua kuna wanafunzi wameanza kushindia na kulalia karanga na maji kwa kukosa bumu
 
yani wanafanya mzoezi ya kupambana na utawala wa chuo?
Hawa ndo makenge kwweli kweli.

Badala ya kushinikiza vitu vya msingi na waweke strategies za jinsi ya kuwadhibiti ffu, wanangoja wakiishiwa ndo wanajifanya kugoma.
Ikifika j3 boom litakuwa limetoka, na mgomo wao utaishia hapohapo.
 
Naona hali ya hatari inaendelea kutangazwa, kuna tarifa pia kua kuna wanafunzi wameanza kushindia na kulalia karanga na maji kwa kukosa bumu

karanga ni very nutritious, waendelee hivyohivyo.
 
"Mkandara na Mgaya wakishirikiana na serikali ya wanafunzi wanashiriki kukandamiza haki za wana udsm hivyo wameitiwa takukuru leo" haya ni maneno ya mtoa hotuba wao.
 
Back
Top Bottom