Lema alipukiwa na vigelegele na Shangwe kwenye msiba wa wana CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema alipukiwa na vigelegele na Shangwe kwenye msiba wa wana CCM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Derimto, Dec 10, 2011.

 1. D

  Derimto JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa Arusha mjini amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu za rambirambi na huku akishangiliwa na umati mkubwa na wanawake kumsindikiza kwa vigelegele katikati ya wana ccm bila kujali Lema alikuwa amevalia gwanda lake na amefunika kuliko wengine na mc. Anatamani aendelee kuongea.

  Narekebisha kama ifuatavyo baada ya wanajamvi kunitaka kufanya hivyo.
  Ni hivi Mwenyekiti wa uvccm. Arusha Bwana Godfrey Mwalusamba alifiwa na mke wake siku ya jumanne usiku na leo ndiyo mazishi yake yamefanyika kwenye makaburi ya njiro na sasa tuko hapa nyumbani kwake njiro na viongozi mbalimbali wa chama na serikali na dini wanaendelea kutoa salamu za rambirambi kwa kuongea mawili matatu na ndipo Lema aliposimama vigelegele na Shangwe kutoka ndani ya wana ccm tena wengine wakiwa na sare sare zao na kama kuna mtu wa magamba yuko hapa akanushe wakati hali halisi inaonekana.
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  CDM bana! vigegele kwenye msiba! .... i wonder what next ...

  "ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

   
 3. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  msiba wa nani na kwa nini ashangiliwe na wanawake tu?
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Taarifa yako haijakamilika mkuu! chukulia mtu anakueleza hivyo harafu akaacha kuendelea, utaelewa kweli walikuwa wapi kwa mfano, walikuwa wanafanya nini na je akina nani wengine walikuwapo nk. Watu wengine hatuko Arusha, kwa hiyo ni jukumu lako kutupa taarifa kwa kina.
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Jaribu kuleta mada ambayo ina ufafanuzi wa kutosha na hivyo tunachangia kutokana na kuelewa kilichojilia na mazingira yaliyojilia kutokea hivyo. Vinginevyo hii habari ni ya kimipasho zaidi kuliko ukweli wa kilichojilia.
   
 6. Makalangilo

  Makalangilo Senior Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Alipokelewa kwa vigelegele au vilio vya msiba...? Kuna tofauti kati ya sherehe za mazishi na za mkutano wa siasa.
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  keshakimbia! Members wengine bana.
   
 8. D

  Derimto JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni kwamba anapendwa na watu wengi na wameonyesha hivyo kwenye msiba wa mke wa mwenyekiti wa uvccm. Arusha bwana Godfrey Mwalusamba na kwa taarifa yako ni kwamba amekaa chini na na kukapoa tena baada ya meya na mkuu wa wiliya wameongea lakini utadhani wako peke yao msibani.
   
 9. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Umeambiwa wanawake wa CCM wamepiga vigelegele wewe unalazimisha wa CDM mtayanywa hivyo hivyo hadi sku mkubali yaishe.
   
 10. only83

  only83 JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Njiwa ze-uharo fun....
   
 11. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
 12. D

  Derimto JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nasisitiza amepolewa kwa furaha kwa makofi na vigelegele na siyo kelele za huzuni kama tulivyozoea na kwa msisitizo ni kwamba watoa salamu wengine kama meya, DC,wenyeviti wa ccm na Beno Malisa wanaongea lakini msiba umerudia namaanisha huzuni zimerudi na waombolezaji wanasikiliza tu kikawaida lakini SIVYO KAMA ALIVYOSIMAMA MBUNGE LEMA.
   
 13. Makalangilo

  Makalangilo Senior Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah jamaa kaipachika tu faster au ndo breaking news???
   
 15. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  poleni sana wafiwa Mungu wetu ajuaye kufariji awafaji nyote
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Wanaume wa kwenu wanapiga vigelegele?
   
 17. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu usifikiri member wote humu JF ni wazima,wengine ni vichaaa hivyo usiumize kichwa sana.
   
 18. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #18
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  yes uko correct, ame experience kitu cha ajabu msibani, ameshtushwa katika hali ya majonzi umekuwepo mlipuko wa furaha baada ya umati kumuona kipenzi chao yani kipenzi cha watu wa arusha yani mh. Lema, umeeleweka kamanda, endelea kutuhabarisha km kuna zaidi apo...
   
 19. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #19
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahahahahahaaaaaa!!!
  Majibu mengine bana.
   
 20. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Tabu kweli kweli...........
   
Loading...