Habari yakusikitisha

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Vyoo ni muhimu kwa binadamu,na kila familia inatakiwa iwe na vyoo.Jana,Mgambo wamelizimika kukamata familia zaidi ya kumi katika vijiji vinne vya mkoani Tanga kwa kukosa vyoo,walivyohojiwa wanasema wanajisahidia vichakani.Miaka 50 ya uhuru wakati vijiji kama Kabuku na vyenzake havina maji(ndoo moja ya maji inanunuliwa kwa tshs1000).Prf Mwandosya umerudi kazini lione hili,Dr Mponda pia linakuhusu.
 
Ila hao watu wa Tanga nao huwa wazembe wazembe mno kwani kujenga choo cha shimo kunahitaji nn cha ziada!!?
 
Unajua m2 yeyote maskini na tajiri akikutwa hana choo achukuliwe hatua,huu ni uzembe wa hali ya juu,hivi hadi choo cha nyumbani msaada?kama una hela ya kula ujue na ya kujenga hata kachoo ka shimo uwe nayo
 
Kwahiyo unataka serikali iwajengee choo. Huo ni uvivu wa akili.
 
wamezoea hao..nenda Pangani -Tanga na Mikindani Mtwara wao bahari ikikupwa wanadrop ufukweni bahari ikijaa inaswipe away inakuwa chakula ya samaki
 
Back
Top Bottom