Mh Mbowe tunakuamini wana Hai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Mbowe tunakuamini wana Hai

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr Mayunga, Dec 11, 2011.

 1. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tunaamini unaweza,nakumbuka ulitutafutia vijana ajira kwenye kiwanda cha TPC mwaka 2000 wengi tulinufaika nazo ingawa ni wachache.Tunaomba tuwe na kiwanda chetu hapa wiliyani, hatakwakupitia kwa wahisani.Hili lingesaidia sana kutupatia ajira,nakupunguza tatizo la ajira kwa sisi vijana.Ukihitaji mawazo ya aina gani ya kiwanda kinafaa hai tuone sisi vijana tutakupa mawazo.AHSANTE
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kuna kitu inaitw HAKIDI INAKUJA NA AJIRA 5000 kupunguza makali
   
Loading...