Ajali Iringa-Mbeya road leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali Iringa-Mbeya road leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mupirocin, Dec 10, 2011.

 1. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ajali mbaya imetokea maeneo ya nyororo kama si kosei, imehusisha basi la Upendo Budget na lorry, miaka nipo ndani ya super feo naelekea mbeya. Hatujasimama kwa hiyo sijui wamekufa watu wangapi. Walio eneo la tukio watupe taarifa vema. Sijajua hili basi lilikuwa linaelekea wapi. Source ni mimi mwenyewe nimeona.
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Yale yale!
  Tutakufa sana mwaka huu...
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dah,
  ajali hizi!
   
 4. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkuu na ingine mbaya sana imetokea mbeya mjini jana 9.12.2011 - Mbeya Yetu

  hatari sana
   
 5. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Tupeni taarifa zaidi basi. Tujue yanayojiri huko.
   
 6. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu nyie watu makatili sana kwanini hamkusimama japo mkatoa msaada kadri ambavyo mngeweza?!!
   
 7. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  jamani mbona danger? kuna nyingine niliisoma hapahapa JF
  imetokea Iringa Mafinga leo asubuhi.
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nijuavyo basi moja likipata ajari la nyuma husimama kusaidia kuokoa jahazi.
  Sasa kupitiliza manake ajari haiwahusu?
   
 9. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  umejuaje ni ajali mbaya sana?
   
 10. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  nadhani madereva na matingo wao wameshazoea hali hiyo.
   
 11. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,468
  Likes Received: 1,416
  Trophy Points: 280
  Kwani huwa kuna ajali nzuri!!! watu tunatofautiana sana
   
 12. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mmeona eeh! Labda ilipotokea ajali ni sehemu mbaya mathalani kona kali n.k
   
Loading...