TBC hivi hamsikii jamaa wakitoa matusi makubwa wakati maadhimisho yakiendelea live???

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Jamani nasikia kbs jamaa wanatoa matusi makubwa live TBC mara vifaa vya si****** ss sielewi inakuwaje wanashindwa ku control hii sauti,wachoongea hawa ni aibu kwa Taifa,au ni wafanyakazi wa TBC one!hebu mtuweke sawa!
 
Hahahahahaha ,aisee ninasikia vizuri sana hapa ila inaonyesha wananchi wamechoka na "seleka" za hii awamu ya inne
 
Nadhani wanajua.KWANI MATUSI NI MAKUBWA ILE MBAYA.YANASIKIKA VIZURI SANA.Nilidhani mimi pekee kumbe na wewe umesikia..Halafu kuna mtu kasikika akiwaamabia "Hivi mnajua yote mnayoonge yanasikika live hewani?"nadhani wanajua wanafanya nini.
 
Me mwenyewe nimeshtuka kidogo duh hii ni balaa kama watu wanatukana live aisee hali ni mbaya!!!!!
 
mafundi mitambo hao, hata maji ya baridi hapao walipo hawana, wataacha kutukana....hahahahahaaaa!
Hicho ndo kitu kilichonifurahisha sana kwenye kusheherekea miaka 50 ya uhuni wa ccm.
 
Nsikia watu wameenda na chupa za bia uwanjani

mambo yakiwa mabaya zitavurumishwa mapaka pachimbike
 
Kwa jinsi sauti inavyosikika, nadhani ni watumishi wa TBC1, sauti ya matusi inasikika kuzidi sauti za anayeamrisha gwaride, kuna mmoja kasema maanina, ms.enge na kaponda khusu dhana za jw:shock:
 
Nadhani wamepigwa ban toka jamaa awaambie wanasikika live nadhani wamechuna.Ila walikuwa wanajua kama wanasikika.jamaa alikuwa anakejel sana maadhimisho.inaonekana uzalendo umemwisha....
 
Nimewasikia. Wana utovu wa nidhamu. Pia TBC wametega kamera uwanjani na jukwaa kubwa basi. Hakuna aerial view wala nini. Wmekaa mahali pamoja utadhani wametiwa gundi. Si wangesidiana hata na makampuni yenye vifaa ili walete matangazo bora?
 
Kwa jinsi sauti inavyosikika, nadhani ni watumishi wa TBC1, sauti ya matusi inasikika kuzidi sauti za anayeamrisha gwaride, kuna mmoja kasema maanina, ms.enge na kaponda khusu dhana za jw:shock:

kinachokera zaidi, tumeita watoto waje waone, halafu wanasikia matusi, haipendezi kabisa
 
dalili za kukata tamaa, busara si kitu katikati ya hali ngumu ya maisha. acha watukane mbona Mkuu wa mkoa na OCD wake Arusha kila leo wanawaita wananchi PANYA, au MBWA
 
Nimewasikia. Wana utovu wa nidhamu. Pia TBC wametega kamera uwanjani na jukwaa kubwa basi. Hakuna aerial view wala nini. Wmekaa mahali pamoja utadhani wametiwa gundi. Si wangesidiana hata na makampuni yenye vifaa ili walete matangazo bora?mmh matangazo bora kwao si suala la msingi kwao ni bora matangazo!
 
Mmoja nilimsikia anasema wawahi kutoka ili waziwahi kwenye viti virefu pale Hongera Sinza. Nadhani walikuwa watu wa TBC wale. Pale si jirani na ofisi zao.
 
Dalili ya mvua ni mawingu,dalili ya watu kuchoka ni matusi........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom