Taarifa zinazozidi kukoroga vichwa vya wabunge na wananchi za wabunge kuongezewa mshiko ni ushahidi kuwa hatuna wabunge bali wasasi ngawira. Tumeambiwa kuwa mapato ya mbunge kwa mwezi ni sawa na...
Ndugu wa JF naomba kuuliza je tangu lini bodi ya mikopokwa wanafunzi wa elimu ya juu yaan (HESLB) wameanza udikteta? Maana nimepokea barua inayoamrisha kuwa kuanzia mwezi December naanza kukatwa...
Kwa nchi kama Marekani,uingereza,German nk mambo hayo hayapo. Na kama yapo ni kwa uchache sana. Waziri mmoja kutumika kwenye serekali zaidi ya moja? Mfano bi Madeline Albright, waziri wa mambo ya...
Leo asubuhi maeneo ya mbezi karibu na shule ya HOPAC nimeona gari moja ikiwa imeteketea kwa moto...nilipouliza kulikoni nikaambiwa gari ile imechomwa moto na waendesha bodaboda baada ya gari hilo...
Ni dalili nyingine ya serikali kufilisika kifedha kwani kwa taarifa nilizopata toka kwa rafiki zangu ambao ni mapolisi wa nyota moja.Tangu walipopandishwa cheo toka mwezi wa 10 hadi leo...
wanajamvi napenda kujua unatumia 'mafuta ya kula' ya aina gani?mimi natumia mafuta ya alizeti yanayotengenezwa tanzania.nikitumia mengine watot wanawashwa mwili.
Mnakumbuka hili neno?
"wao wanasema watafanya nini, na mimi ninasema nimefanya nini katika miaka mitano iliyo pita, nime jenga shule ya benjamini mkapa secondary school,nimejenga uwanja mpya wa...
Ndg wanaJF,salam! Hivi ni kwanini inakuwaje baraza la mawaziri, kwa mfano marekani,tuanzie na Clinton,alikuwa na baraza lake la mawaziri kina bi Madeline Albright na wenzie. Alipokuja Bush...
Jana ilikuwa na kesi inayo wakabili watu wawili dr Slaa na mzee Mtikila na vyombo vya habari vilivyo ripoti kauli zao dhidi ya utajiri wa Ridhiwani .
swali kwa wana JF na wa TZ KWA ujumla, je...
Nina imani kuwa wahusika wa hii taarifa hawatakanusha kwa kusingia weakleeks kwani chanzo cha habari kinajieleza. kweli nchi yetu imeoza kwa kuwa na antracs wengi lakini wamejaa unafiki!!!
Wanajamvi:
Ukisoma stori hii hapa chini utaona kwamba mchakato wa kuzichagua kampuni zilizotajwa kufanya hiyo pre-shipment inspection (PSI) haukuwa wa zabuni, kitu ambacho ni kinyume na...
By Mkinga Mkinga,
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. The government spent a total of Sh64 billion to facilitate celebrations to mark the 50th independence anniversary of Mainland Tanzania...
Millard Ayo alipomtembelea Riziwai hivi leo. Milllar anaandika hivi.................. nikiwa na RIDHIWANI KIKWETE nyumbani kwake leo, tumezungumza mengi ambapo pia amezungumzia KAULI NZITO...
Asubuh ya leo nimeona ubunifu wa Ombaomba, nilikua kwenye makutano ya kawawa road na nyerere rod,wakat daladala ipo kwenye folen nikasikia sauti iliyorekodiwa ikitoka kwenze kipaza sauti,SAUT HIYO...
zaidi ya magari 200 yako katika eneo la mzani wilayani Biharamulo mkoani kagera kutokana na mgomo wa madereva wanaopinga unyanyasaji wa wadfanyakazi wa TANROADS katika kituo hicho
habari...
Wakuu kama mnavyofahamu Tanesco inakusudia kupandisha bei ya umeme January 2012 kwa kipindi cha dharura cha miezi 6.Nashauri watu wote wenye hela zao wanunue umeme wa kutosha miezi 6 December hii...
Kwanini nasema hvyo,watu tulipanga kuandamana kupinga safari za mheshimiwa akiwa huko ughaibuni.watu wakahamasishana vya kutosha hadi sehemu ya maandamano kuanzia then 'chali'ikaja nyingine ya...