Kwa nini jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini jamani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by measkron, Dec 14, 2011.

 1. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Jaman nipo mjini Moshi, imefunguliwa Nakumatt Supermarket, nimeingia humo ndani, wahudumu almost all ni Kenyans. Kwa nini? Nilitegemea wawekezaje wanapokuja moja ya masharti iwe ni ajira kwa wakazi, hii imekaaje wakuu?
   
 2. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 649
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Watanzania hatuaminiki tena. Halafu tuna visingizio vingi vya kukwepa kazi. Leo kafiwa na jirani, kesho kafiwa na mjomba wa bibi, keshokutwa kafiwa na shemeji wa babu, .........endeleza wengine
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Njoo uchumi supermarket-quality plaza, wahudumu wengi ni wakenya. Kama hivi ndivyo basi tuanzishe vipindi redioni/tv/blogs/magazetini tuambizane ukweli kabla ya kuwa xenophobic na kuwatandika hawa wachumia tumbo.
   
Loading...