Kupanda kwa Umeme hakutomuumiza mwananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupanda kwa Umeme hakutomuumiza mwananchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Dec 15, 2011.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hayo alizungumza Mh.Malima(N.W N M)

  Hivi hawa viongozi wa jeikei,huwa wanashirikisha ubongo kwa wanayoyaongea?

  Source:Magazeti ya Leo(15.12.2011)
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Misenge mitupu, yaani wewe uwapandishie gharama wenye viwanda halafu na wao gharama za uendeshaji zipande, ni kwa nini na wao wasiongeze gharama za bidhaa zao? mwisho wa siku ni nani mlaji wa mwisho wa bidhaa hizi?
   
 3. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Huu ni usenge haihitaji profesor kuongelea suala hili
   
 4. D

  DURACEF JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  nchi imeoza hii inanuka kabisa hivi kweli unaweza ukaongea ujinga kama huu shit ipo siku tu
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sa akiwapandishia 'MAPONJORO'si ndo katuumiza na sis?
   
 6. k

  kaeso JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawa viongozi wa serikali hii sijui wana matatizo gani, hii ishu ipo wazi kabisa lakini wao wanatufanya sisi vipofu. Nadhani huwa wanaongea bila ya kufikiri.
   
 7. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...ushuzi mtupu. Kweli tumekabidhi kampuni kuongoza nchi yetu!

  Hivi hatukujua kampuni inajiendesha kwa faida.

  Hivi hatuwezi kuifilisi hii kampuni.
  Inaudhi sana...
   
 8. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sijui ni kwanini hawa viongozi wetu ni vilaza kiasi hiki yaani sijui huwa wanafikiria kwa vidole gumba vya miguu au ni nn!! Kupandisha umeme kwenye viwanda ndio kusababisha maisha yazidi kuwa magumu kwani bidhaa ziauzwa marambili hadi tatu ya bei ya kawaida ama ya sasa unategemea mtu wa hali ya chini anaishi kwa chini ya dola moja kwa siku atakuwa na maisha gani???

  Yaani selikali ya sasa ni vilaza watu[u wanafikiria kwa masaburi yao hawatumii akili za mungu ama sijui niseme wanachanganya na za mbayuwayu ama vp......:embarassed2:
   
 9. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  hata wakipandisha tutakaa kimya, hatuna ubavu wa kuwafanya chocho, tushazoea, Bado 2015 mta wapa kura, sawa?
   
 10. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mi nimemuelewa sana na yukosahihi. Kwasababu umeme hautakuwepo. Umeme haupo mwananchi atalipia nini? umeonae
   
Loading...