Basi la green star lapata ajali

mahololelo

Member
Oct 11, 2011
32
5
Basi la Green Star ilyokuwa inatoka mwanza kuelekea Dar imepata ajali maeneo ya shelui kijiji kimoja kabla hujafika shelui centre, hakuna mtu aliyekufa,imegonga na kuua ngombe saba
 
Poleni sana kwa ajali hiyo. Tunashukuru Mungu hakuna aliyekufa.
 
Tumshukuru Mungu kwa kuwanusuru binadamu, kama ng'ombe wamekufa mwenye ng'ombe anaweza kulipwa na bima akanunua wengine na kusahau hao, lakini maisha ya binadamu hayanunuliwi.
 
Basi la Green Star ilyokuwa inatoka mwanza kuelekea Dar imepata ajali maeneo ya shelui kijiji kimoja kabla hujafika shelui centre, hakuna mtu aliyekufa,imegonga na kuua ngombe saba

Mungu awalinde mfike salama! Dreva alkua makin.
 
Kwanini tusijiulize hizi ajali zinazojitokeza kwa wingi kuelekea mwisho wa mwaka zinakuwa nyingi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom