Matokeo ya darasa la saba:waliofaulu kukosa nafasi

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Kati ya wanafunzi 567,567 waliofaulu ni wanafunzi 515,187 ndio waliopata nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza na wanafunzi 52,380 kukosa nafasi.

Hata hivyo naibu waziri wa elimu Mh.Mulugo amedai kua hao waliopata nafasi watachujwa tena Januari ili kuangalia wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika.

Source:Mwananchi.
 
Wamefaulu lakini waziri anadhani kuna waliofaulu wasiojua kusoma na kuandika?!, ok hao waliofaulu lakini wasijue kusoma na kuandika atawaweka wapi?, atawaanzisha chekechea au atawaacha wakafunzwe na dunia?
 
Hapashwi kuwaacha. Ni mzigo wake maana ndiye mwenye dhamana ya kuhakikisha watoto wote wa taifa hili wanajua kusoma na kuandika. Kuna sababu ya msingi kwa nini wameshindwa kujua na kuandika. na kama mwanafunzi aliweza kudumu mpaka darasa la saba ina maana ni teachable ila kulikuwa na uzembe mahali. Let us identify that anomaly and rectify accordingly. Haikubaliki kuwaacha hivi hiv maana ni mzigo wa taifa kesho. kama alivyosema muhubiri wa Alisalaah, Chanel Ten, hakuna graduate ambaye ni kibaka in the proper sense of kibaka.
 
wamewezaje kufaulu?

Wamefaulu lakini waziri anadhani kuna waliofaulu wasiojua kusoma na kuandika?!, ok hao waliofaulu lakini wasijue kusoma na kuandika atawaweka wapi?, atawaanzisha chekechea au atawaacha wakafunzwe na dunia?
 
Inauma sana kama mpaka shule ya msingi nao wanafutiwa mitihani cjajua nchi yetu inakwenda wapi na cna uhakiwa kama policy yao hao ya kupunguza ujinga kama itafanikiwa kama hao wanaotaka kupunguza ujinga wanao huo ujinga,this world is not our hm watafanya nini hao waliofutiwa mitihani mbaya zaidi unaweza kuta ni watoto wa hao wanaodeal na uti wa mgongo wa tz,uongozi unatakiwa kuwa makini na hcho wanachokifanya kabla hali haijawa mbaya.
 
kwakwel watz tunapo ea kama wanafunz hao wte wamefutwa mtkeo bac we r lst hwa watt wte wataenda wap kama sio kuvuta bangi na wz alafu l8r waje kukamtwa na polc bt wo z de source wao ndo source of al ds ts true hawa viongoz we2 wanatengeneza matatzo ili wazd ku2tawala!
 
Back
Top Bottom