Tanesco hamjui biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco hamjui biashara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbekelu Mghenyi, Dec 15, 2011.

 1. M

  Mbekelu Mghenyi New Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa viongozi wa TANESCO hawana mipango yenye tija,wala hawana uwezo wa kulisaidia shirika kupata mapato zaidi,NAWASHAURI WATAFUTE NJIA YA KUZALISHA UMEME KWA WINGI ILI KUPUNGUZA UKOSEFU UMEME HII KUTALIFANYA TANESCO KUPATA MAPATO MENGI,PIA NAWASHAURI UKIONA UNAOTUMIA MAFUTA UNAKOSEKANA UJUE WAJANJA WAMECHAKACHUA MANAKE LISAA MOJA UNAPOZIMA UMEME WA MAFUTA UJUE WAJANJA WAMETENGENEZA PESA YAO.TANESCO MSIWE NA MAWAZO YA KUONGEZA BEI MAANA HAKUTAOONGEZA FAIDA KWA KUWA HAMTOI UMEME MASAA 24 KWA SIKU 7,HIVYO WATUMIAJI UMEME KUWA AKIBA YA UNIT.JE MTAPATE FAIDA KWA MTINDO WENU MSIPOBUNI MBINU MTALALAMIKA KILA SIKU HAMPATI FAIDA.
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Mapango mazima. Wafanye unit moja ifike buku, wabongo mtakuja tu barabarami, na wale mnaosemaga fulani anaonewa ndo mtatueleza vizuri.
  Way to go TANESCO!
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hii thread sio ya jukwaa hili mkuu hapa ni ushauri ,malalamiko na maulizo yote kwa mtandao huu wa jf
  sisi sio tannesco kwa iyo hatuna cha kuongea ,peleka malalamiko yako kwa tanesco au jukwaa linalohusika
  karibu tena jf
   
Loading...