Namna ya Kuunganisha IDs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namna ya Kuunganisha IDs

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kintiku, Dec 15, 2011.

 1. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 607
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Naomba kama mtu anajua namna ya kuunganisha IDs hapa Jamvini. Ninazo kama tatu hivi sasa nimechoka kuingia na kutoka na kutumia nguvu zangu kujifanya sio mtu huyo huyo mmoja. Ila nataka michango yangu yote iunganishwe kwenye ID moja.

  Msaaad please...........
   
 2. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  muulize FF tena yeye waliunganisha na id iliyopigwa ban ya maisha, alikiri
   
Loading...