CCM Hiki cheo vipi mmekifuta au Bado kipo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Hiki cheo vipi mmekifuta au Bado kipo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tony Almeda, Dec 15, 2011.

 1. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kwa muda mrefu sasa sijakisikia hiki cheo, wala sijamsikia mheshimiwa Tambwe Hizza aliekuwa na hiki cheo cha mkurugenzi wa PROPAGANDA wa chama cha mapinduzi.
  Je CCM mmejishtukia na kikifuta hiki cheo cha uongo uliokubuhu? na Tambwe Hizza yuko wapi?
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 9,159
  Likes Received: 1,365
  Trophy Points: 280
  umesahau kazi ya NAPE? HIZA ALIONDOLEWA NA KWA SASA YUPO NNAAUYE NAPE
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,935
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Mukama alipokuja na scientific research alichofanya ni kubadili Title ya cheo akasahau kubadili responsibilities.
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wewe kinachokuwasha kitu gani.
  OTIS
   
 5. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,216
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndio hapo sasa kwani kelele za Nape na Hizza ni vitu vilevile, KUROPOKA mpaka mapovu yakutoke.
   
 6. Atubela

  Atubela JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 80
  Acha dharau wewe kama huna majibu si upite kimya kwani ni lazima ucoment?
   
 7. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Tunataka kujua kama ameshamlala mama yake.............aliapa mbele ya watu kuwa akirudi CCM basi amlale mama yake.
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 8,487
  Likes Received: 2,116
  Trophy Points: 280
  Tayari alishamaliziana na mama yake na ndiyo akapata laana mpaka leo hii hajulikani alipo. Laana mbaya sana.
   
 9. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 341
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Labda yupo kwenye ile redio inayochukua wasanii kutangaza kawa mtangazaji, ile redio inayotangazwa na yule shoga mwenye moto.
   
 10. p

  pat john JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vyeo vya CCM vinafsiriwa kwa ukubwa wa Magamba.
   
 11. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 695
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mh kanta, hembu fafanua bhana radio gani/nani huyo mwenye moto maana watoto wetu huwa wanawasifia na kujifananisha na watangazaji- itasaidia kumkanya mtoto!!!
   
 12. D

  David Mathias Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiko cheo kipo na kimeboreshwa zaidi ndicho anachoshilia Nnape Nnauye
   
Loading...